Meneja kivuko cha Busisi-Kigongo, nakuburuza Mahakamani. Hii kero imekuwa sugu!

Dimma

Member
Joined
Aug 15, 2017
Posts
99
Reaction score
135
Gati za pande zote mbili kwenye ardhi imekuwa ni kero ya muda mrefu sana kwa magari ya chini (saloon cars).

Hiki kivuko ukiwa unaingiza gari au ukiwa unashuka, ni lazima ukwangue bampa la mbele la gari. Hata uwe makini namna gani kukwepa, lazima uburuze bampa!

Mark X ya jamaa yangu ishawahi kutoka bampa lote la mbele upande wa Kigongo ikiwa inashuka kutoka ndani ya kivuko!

Last week nimeshuhudia Subaru Impreza inang'oka bampa hapo hapo.

Nimeazima Crown la watu kwenda Sengerema, wakati naingia kwenye kivuko, bampa limesaga ardhi! Wakati nashuka kwenye kivuko bampa la mbele limeacha rangi yote pale! Nimeumia mnoo, gharama kureplace rangi crown la watu.

Nina hasira sana na uongozi wa hiki kivuko. Hivi hamuoni wateja wenu wa magari ya chini wanavyoumiza magari yao hapo? Wenye magari ya chini wanalalamika sana mrefu ila mmeziba masikio na mnakusanya tu tozo!

Hivyo vituta vya ardhi pale kivuko kinapogota mmekosa kabisa akili ya kuvithibiti ardhi ikawa flat?

Mnatucharge TSH 6,500 kwa gari ndogo, na baada ya hapo mtu afikie kwenda gereji kurekebisha bampa!

Tumechoka na kero hii!

Wewe Meneja wa kivuko cha Busisi-Kigongo, jiandae kisaikolojia.

Very soon tunakutumbua kisha nakuburuza Mahakamani. Lazima ulipe fidia kwa hizi hasara nilizoingia kwasababu ya uongozi wako wa kizembe hapo kivukoni.

Mapato makubwa ya kivuko lakini mnashindwa kutatua kero ndogo ndogo zinazoumiza wateja wenu. Hamfai kukalia hivyo viti.

Nimemaliza. Hopefully message sent and delivered.
 
Nunua 4W Drive
 
Kwa hiyo mkuu akili yako ndiyo imekutuma hivyo kwamba badala ya uongozi wa kivuko kukarabati hilo eneo linaloharibu magari ya watu
Watu wauze magari yao wanunue 4W

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Unapokuwa dreva chini ya kiwango lazima mambo hayo yatakutokea. Kila siku magari aina yako huvuka bila tatizo
 
Pole sana Mkuu

Kwa uhakika kabisa naomba nikukatishe tamaa, huyu bwana unayetaka kumburuza mahakamani ni Shemeji wa Baba Jesca. Yaani Mjomba wake na Jesca, i mean mdogo wake wa tumbo moja na Mama Jesca.

Now from there uamuzi ni wako. Japo nitakuunga mkono ukiamua kusonga mbele. Kwa kifupi nina machungu yangu dhidi ya huyu bwana. Binti mdogo kabisa aliyekuwa mpwa wangu alifariki miezi minne iliyopita na gonjwa pendwa linalohusiana na ulaji wa midonge kama mikaranga, binti huyu alitoroka shule na kuishi na huyu bwana baada ya muda yakamfika makubwa hayo. Niishie hapo kwa leo, mambo ni mengi muda mchache..

Pole kwa kuchanganya mada, nilikuwa najaribu kuungana na adui wa adui yangu.
 
Gati za pande zote mbili kwenye ardhi imekuwa ni kero ya muda mrefu sana kwa magari ya chini (saloon cars).

Hiki kivuko ukiwa unaingiza gari au ukiwa unashuka, ni lazima ukwangue bampa la mbele la gari. Hata uwe makini namna gani kukwepa, lazima uburuze bampa!

Mark X ya jamaa yangu ishawahi kutoka bampa lote la mbele upande wa Kigongo ikiwa inashuka kutoka ndani ya kivuko!

Last week nimeshuhudia Subaru Impreza inang'oka bampa hapo hapo.

Nimeazima Crown la watu kwenda Sengerema, wakati naingia kwenye kivuko, bampa limesaga ardhi! Wakati nashuka kwenye kivuko bampa la mbele limeacha rangi yote pale! Nimeumia mnoo, gharama kureplace rangi crown la watu.

Nina hasira sana na uongozi wa hiki kivuko. Hivi hamuoni wateja wenu wa magari ya chini wanavyoumiza magari yao hapo? Wenye magari ya chini wanalalamika sana mrefu ila mmeziba masikio na mnakusanya tu tozo!

Hivyo vituta vya ardhi pale kivuko kinapogota mmekosa kabisa akili ya kuvithibiti ardhi ikawa flat?

Mnatucharge TSH 6,500 kwa gari ndogo, na baada ya hapo mtu afikie kwenda gereji kurekebisha bampa!

Tumechoka na kero hii!

Wewe Meneja wa kivuko cha Busisi-Kigongo, jiandae kisaikolojia.

Very soon tunakutumbua kisha nakuburuza Mahakamani. Lazima ulipe fidia kwa hizi hasara nilizoingia kwasababu ya uongozi wako wa kizembe hapo kivukoni.

Mapato makubwa ya kivuko lakini mnashindwa kutatua kero ndogo ndogo zinazoumiza wateja wenu. Hamfai kukalia hivyo viti.

Nimemaliza. Hopefully message sent and delivered.
#niyeye 2020
 
Pole sana Mkuu

Kwa uhakika kabisa naomba nikukatishe tamaa, huyu bwana unayetaka kumburuza mahakamani ni Shemeji wa Baba Jesca. Yaani Mjomba wake na Jesca, i mean mdogo wake wa tumbo moja na Mama Jesca.

Now from there uamuzi ni wako. Japo nitakuunga mkono ukiamua kusonga mbele. Kwa kifupi nina machungu yangu dhidi ya huyu bwana. Binti mdogo kabisa aliyekuwa mpwa wangu alifariki miezi minne iliyopita na gonjwa pendwa linalohusiana na ulaji wa midonge kama mikaranga, binti huyu alitoroka shule na kuishi na huyu bwana baada ya muda yakamfika makubwa hayo. Niishie hapo kwa leo, mambo ni mengi muda mchache..

Pole kwa kuchanganya mada, nilikuwa najaribu kuungana na adui wa adui yangu.
Kwahiyo jamaa anatumia mbolea kama shemeji yake,meko kila mahali kajaza ndgu zake plus ukabila
 
Back
Top Bottom