Meneja NHC K'njaro Juma Kiaramba aula,ateuliwa mjumbe Bodi ya Baraza la ushauri la watumiaji wa huduma za usafiri wa anga(TCAACCC)

Meneja NHC K'njaro Juma Kiaramba aula,ateuliwa mjumbe Bodi ya Baraza la ushauri la watumiaji wa huduma za usafiri wa anga(TCAACCC)

Ndagullachrles

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2023
Posts
256
Reaction score
259
Ameandika Juma Kiaramba na hapa namnukuu


"Namshukuru Waziri wa Uchukuzi Mh. Prof. Makame Mbarawa (Mb) kwa imani kubwa kwangu kuniteua kuwa mjumbe wa baraza la ushauri la watumiaji wa huduma za usafiri wa Anga Tanzania. 'Tanzania Civil Aviation Authority - Consumer Consultative Council' (TCAA CCC) kwa kipindi cha miaka 3 kuanzia Mei 25 2026 hadi Mei 24 2029.

"Namwomba Mwenyezi Mungu aniwezeshe niitumikie nafasi hii kwa weledi na maarifa yangu yote"

"Leo tarehe 27 Agosti 2026 wajumbe wa baraza wamefanya kikao chao cha kwanza cha utendaji makao makuu ya TCAA CCC Kinondoni Dsm"
 

Attachments

  • FB_IMG_1787925822395.jpg
    FB_IMG_1787925822395.jpg
    95.6 KB · Views: 11
  • FB_IMG_1787925855351.jpg
    FB_IMG_1787925855351.jpg
    83.2 KB · Views: 12
  • FB_IMG_1787925840074.jpg
    FB_IMG_1787925840074.jpg
    100.8 KB · Views: 12
  • FB_IMG_1787925829780.jpg
    FB_IMG_1787925829780.jpg
    107.4 KB · Views: 8
  • FB_IMG_1787925846795.jpg
    FB_IMG_1787925846795.jpg
    92.5 KB · Views: 13
Back
Top Bottom