Ameandika Juma Kiaramba na hapa namnukuu
"Namshukuru Waziri wa Uchukuzi Mh. Prof. Makame Mbarawa (Mb) kwa imani kubwa kwangu kuniteua kuwa mjumbe wa baraza la ushauri la watumiaji wa huduma za usafiri wa Anga Tanzania. 'Tanzania Civil Aviation Authority - Consumer Consultative Council' (TCAA CCC) kwa kipindi cha miaka 3 kuanzia Mei 25 2026 hadi Mei 24 2029.
"Namwomba Mwenyezi Mungu aniwezeshe niitumikie nafasi hii kwa weledi na maarifa yangu yote"
"Leo tarehe 27 Agosti 2026 wajumbe wa baraza wamefanya kikao chao cha kwanza cha utendaji makao makuu ya TCAA CCC Kinondoni Dsm"