Isenye
JF-Expert Member
- Dec 22, 2024
- 1,985
- 5,167
Kwanza hushindi ofisini,muda mwingi unashinda kwa mfipa kunywa pombe na supu ya makongoro.
Hapo ofisini kwako kila siku nyie mnasingizia hamna mtandao na wakati maeneo jirani kama Kinondoni na ubungo mtandao upo.
Mmewaachia watoto wa field ndo wahudumie watu wakati wewe na staffs wenzio mnadhurura tu hovyo.
Majibu ya baadhi ya staffs wako ni ya maudhi na wewe huna hata habari sababu uko tungi muda wote.
Ni week ya tatu sasa tangu tuweke fingerprint hapo ofisini kwenu lakini malipo hakuna ndio kwanza claim processing bado iko pending,wenzetu waliofungulia madai maeneo kama kinondoni wamelipwa tayari ila nyie kila siku hakuna mtandao.
Una stationery yako hapo nje ya ofisi za nssf yenyewe muda wote mtandao upo ila ofisini nssf mtandao hakuna.
Kwa haya na mengine mengi jitafakari kama unafaa kuendelea kukalia hicho kiti