nssf kibaha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Isenye

    JamiiForums Tanzania Meneja NSSF Kibaha, Pwani, jitafakari kama unafaa kuendelea kuwa ofisini

    Kwanza hushindi ofisini,muda mwingi unashinda kwa mfipa kunywa pombe na supu ya makongoro. Hapo ofisini kwako kila siku nyie mnasingizia hamna mtandao na wakati maeneo jirani kama Kinondoni na ubungo mtandao upo. Mmewaachia watoto wa field ndo wahudumie watu wakati wewe na staffs wenzio...
  2. Isenye

    JamiiForums Tanzania KERO NSSF Kibaha Pwani ni wazembe, wanalipwa mishahara ya bure tu na wanamhujumu Rais Samia kwa wananchi wake.

    Hawa jamaa ni week ya tatu sasa tangu niweke fingerprint pale ofisini kwao,tena ilikua kwa mbinde sana. Wao kila siku ukienda pale ofisini kwa unawakuta tu wamekaa wanapiga story za kipuuzi wanasingizia eti hakuna mtandao lakini ukienda ofisi za nssf maeneo mengine kama Kinondoni au ubungo...
Back
Top Bottom