Isenye
JF-Expert Member
- Dec 22, 2024
- 1,985
- 5,167
Hawa jamaa ni week ya tatu sasa tangu niweke fingerprint pale ofisini kwao,tena ilikua kwa mbinde sana.
Wao kila siku ukienda pale ofisini kwa unawakuta tu wamekaa wanapiga story za kipuuzi wanasingizia eti hakuna mtandao lakini ukienda ofisi za nssf maeneo mengine kama Kinondoni au ubungo wenzao wako busy na mtandao uko vizuri tu na wanapiga kazi.
Hawa NSSF kibaha wanamhujumu Rais Samia kwa kumchonganisha na wapiga kura wake in a way that ukienda pale utakuta bonge la foleni la wananchi wamekalishwa juani kwa kisingizio kuwa hakuna mtandao, majukumu yao pale wamewaachia watoto wa field wao wenyewe wenye ofisi ni kudhurura na kupiga story za unywaji wa pombe,meneja wao yeye kutwa ni kushinda kwa Mfipa kunywa supu ya makongoro hajui hata nini kinaendelea ofisini.
Mimi na wenzangu tumeweka fingerprint tangu week tatu zilizopita cha ajabu waliowekea fingerprint nssf kinondoni kwenye foleni ya watu wengi tayari wamelipwa chao mapema ila Kibaha wao kila siku tunajibiwa na vitoto vya field kuwa hakuna mtandao, ukitaka kuonana na meneja wao hayupo yupo kwa mfipa huko kulewa na kunywa misupu ya makongoro, cha kushangaza kingine wanakuambia hakuna mtandao ila stationery iliyopo hapo nje kwao mtandao upo vizuri tu.
Tunaomba mamlaka ziingilie kati, hawa watumishi wa NSSF Kibaha wanalipwa mishahara ya bure tu hakuna kazi wanafanya na wengine hawashindi ofisini hata kidogo, haiwezekani wiki ya tatu sasa claim processing iko pending tu na majitu yanasingizia kila siku mtandao unasumbua na wakati mtandao ofisi zingine uko vizuri.
Mamlaka tuondoleeni huu upuuzi wa hawa wazembe tafadhalini sana.
mwigulu nchemba