Meneja wa mkoa au?Ni Yule dada?Kwanza hushindi ofisini,muda mwingi unashinda kwa mfipa kunywa pombe na supu ya makongoro.
Hapo ofisini kwako kila siku nyie mnasingizia hamna mtandao na wakati maeneo jirani kama Kinondoni na ubungo mtandao upo.
Mmewaachia watoto wa field ndo wahudumie watu wakati wewe na staffs wenzio mnadhurura tu hovyo.
Majibu ya baadhi ya staffs wako ni ya maudhi na wewe huna hata habari sababu uko tungi muda wote.
Ni week ya tatu sasa tangu tuweke fingerprint hapo ofisini kwenu lakini malipo hakuna ndio kwanza claim processing bado iko pending,wenzetu waliofungulia madai maeneo kama kinondoni wamelipwa tayari ila nyie kila siku hakuna mtandao.
Una stationery yako hapo nje ya ofisi za nssf yenyewe muda wote mtandao upo ila ofisini nssf mtandao hakuna.
Kwa haya na mengine mengi jitafakari kama unafaa kuendelea kukalia hicho kiti
Hilo la kuchelewa kulipwa ni janga la wote sasa ni mwezi wa 3 kuna watu hawajalipwa na hakuna hata taarifa kutoka kwenye mamlaka.Kwanza hushindi ofisini,muda mwingi unashinda kwa mfipa kunywa pombe na supu ya makongoro.
Hapo ofisini kwako kila siku nyie mnasingizia hamna mtandao na wakati maeneo jirani kama Kinondoni na ubungo mtandao upo.
Mmewaachia watoto wa field ndo wahudumie watu wakati wewe na staffs wenzio mnadhurura tu hovyo.
Majibu ya baadhi ya staffs wako ni ya maudhi na wewe huna hata habari sababu uko tungi muda wote.
Ni week ya tatu sasa tangu tuweke fingerprint hapo ofisini kwenu lakini malipo hakuna ndio kwanza claim processing bado iko pending,wenzetu waliofungulia madai maeneo kama kinondoni wamelipwa tayari ila nyie kila siku hakuna mtandao.
Una stationery yako hapo nje ya ofisi za nssf yenyewe muda wote mtandao upo ila ofisini nssf mtandao hakuna.
Kwa haya na mengine mengi jitafakari kama unafaa kuendelea kukalia hicho kiti
Wakati mwingine ni makusudi tu wanafanyaHilo la kuchelewa kulipwa ni janga la wote sasa ni mwezi wa 3 kuna watu hawajalipwa na hakuna hata taarifa kutoka kwenye mamlaka.
Inaumiza sana kunamtu amafika mahala kasema basi wacha ni mwachie Mungu maana amefika mpaka hatua ya mwisho pesa awekewe kwenye Acount lakini mpaka leo hola mwezi wa 3.Wakati mwingine ni makusudi tu wanafanya
Ndio maana wasomi wengi hupenda ajira za umma(serikali) kwa kuwa ni kusaini na kusepa au kuwepo ofisini na kuchat au kufanya mambo binafsi.Wa mkoa mkuu,yule dada nae chenga tu,hashindi ofisini pia
Inaumiza sana kunamtu amafika mahala kasema basi wacha ni mwachie Mungu maana amefika mpaka hatua ya mwisho pesa awekewe kwenye Acount lakini mpaka leo hola mwezi wa 3.
Asinywe nyakati za kazi huoni minie huwa hayupo mida hii huku ndani😀