Meneja NSSF Kibaha, Pwani, jitafakari kama unafaa kuendelea kuwa ofisini

Daaah poleni watanganyika ndani wote mnalia wapi mnafuraha? Huyu chura anafanya atakavyo tu wala hajali kuhusu watanganyika na hana muda nanyi.
Nimeamini anae ongoza serikali hii ni JK. Sema mungu ni mkali mno.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Poleni Sana, Yaani NSSF Taasisi kubwa kabisa na inafanya mambo kama wapumbavu...Haya mambo ya kubebana ndo yametufikisha Hapa.
wengi wanaofanya kazi Nssf ni wazee tunaomba waachie viti kazi yao ni kupaka skin care ili waonekane vijana
 
Ukishaweka dole gumba wanakwambia subiri siku 30, sasa ni zaidi ya siku hizo na mzigo hausomi kwenye account.
 
Kwa uzi huu nimegundua Huyu Isenye ni mmoja wa Senior officers pale NSSF makao makuu. Probably yupo kwenye kitengo cha ICT
Kivipi sasa wakati mwenyewe mhanga wa hao wapuuzi wa nssf kibaha wanaolipwa mshahara wa bure tu?
 
wengi wanaofanya kazi Nssf ni wazee tunaomba waachie viti kazi yao ni kupaka skin care ili waonekane vijana
Mambo ya kubebana...Hii Taasisi Kwa kiasi Fulani naifahamu imeharibiwa Kwa sababu za connection kuwa nyingi Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…