Meneja: Uwanja wa ndege Chato unahudumia abiria 250 kwa mwezi

Huko kwao bado ni Tanzania na Kuna wananchi wanahitaji huduma wao, au watoto wao na wajukuu zao
Ndipo akili zenu zilipoishia kufikiri!Acheni ushabiki maandazi na mjikite kwenye hoja!
Kwako wewe mradi ufanyike popote hata kama hauna tija ilimradi ni Tanzania!
 
hilo sio jambo la kujivunia hata kidogo, ni wastan wa abiria 8 tu kwa siku
 
Nimeshindwa kufahamu unachojaribu kujadili ila ume prove point yangu niliyosema as long as alofanya jambo au kusema jambo ni kutoka chama unachokipenda umekuwa kipofu na huwezi kukubali kuwa pamefanyika kosa. Sikulaumu kabisa hilo ndilo tatizo sugu la watanzania. Ama kwa kusema mimi ni mtu wa kaskazini, kwanza acha tabia za ukabila - tanzania hatuhitajo watu kama nyinyi. Pili hata sijui unamaanisha nini ila mie si mtu wa huko, mie kwetu ni visiwani!!!!! tena najivunia sana kuwa ni mtoto wa ki zanzibari!!!!
 
Huna akili kabisa

1. Serikali haifanyi biashara kwenye huo uwanja

2. Hakuna biashara ya kuanzisha leo na kuanza kupata faida leo
Punguza matumizi ya madawa ya kulevya wewe!
1. Hujui nini maana ya neno biashara.
2. Mwenye akili haanzishi biashara akijua kuwa hana chance ya kujipatia faida
3. Punguza bangi!!!!!
 
huko kwenu mafuta ya kula lita moja shilingi ngapi mkuu. 😂
unadhani hata anajua anaamini katika kitu gani huyo boya, msamehe bure mkuu , hawa ndio wale akiamka badala ya kumshukuru mola wake anamshukuru Rais kaamka, yani kuna viazi nchini huko acha tu
 
Jiwe kila alipo jitahidi kwa nguvu zote kujipendekeza kwenye nchi alikataliwa na watanzania wote isipokuwa chato tu... ndo aliharibu zaidi......

Alipojua ukweli kuwa hapendwi na ameharibu mnooo!! akaamua kufia pasipo eleweka kwa kuogopa kukamatwa live.
Hata kenyatta alimkataa...asiende huko ....lkn Lisuu walimpokea.
 
Walinda legacy mna kazi kweli, yaani abiria 250 kwa mwezi nayo unasifia!
yaani ndege inatua mara 3 kwa wiki , ina maana kwa mwezi inatua mara 12. Kwa hesabu hiyo kila inapotua inahudumia abiria 250/12 yaani abiria 20.83 karibia abiria 21. Kwa hiyo ndege inakuja na abiria 10 au 11 na kuondoka na abiria 11 au 10. Bombadier ina uwezo wa kubeba abiria wangapi? Is it viable?
 
Ni wanafamilia wa Magu, Kalemani, na Dotto, hao ndio hupanda ndege hiyo, ni uwanja wa familia ya JPM, Rais wa hovyo kabisa kuwahi kuongoza nchi hii, hovyo kabisa
Kaka mbona unaroho mbaya Kama Shetani mwana wa ibirisi. Bila shaka ndo Yale yenye vyeti fake yaliyopigwa rungu la kichwa.
 
Tatizo letu Watanzania tumejawa na chuki na ukabila.
Ukizungumzia mkoa wa Geita na wilaya zake hapo unazungumza Pato la Taifa, migodi yote huko inamilikiwa na wasukuma. Ukichukua hiyo geita, katoro, nyarugusu, chato huko kwenda Hadi msalala huko ni Migodi ya wasukuma tu.
Mwenzangu na Mimi umepanga chumba na sebule Dsm eti unawaita WASUKUMA wanyonge, mnyonge ni wewe ni usie na ela.
 
250/30 =8.33
Sasa wastani wa abiria nane Kwa siku ni matumizi mabaya ya rasilimali watu na miundombinu hiyo ya uwanja na ndege!
Uwanja hauna tija hapo Chato!
1.Uwanja wa ndege ni kivutio pia. Uwepo wa Airport unainfluence mtu kusafiri kwenda chato.

2.Hayati hakukosea maana ni maandalizi ya vita hufanyika wakati wa amani. Au ulitaka ajenge demand ikishakua kubwa?
 
napendaga sana hoja za Elitwege ningeomba data za sasa za huu uwanja.
 
napendaga sana hoja za Elitwege ningeomba data za sasa za huu uwanja.
Waitani wa abiria 8 kwa siku,aache uongo, Chato Ni kijiji Cha wavuvi,hao abiria 8 kwa siku amewapata wapi?
 
Unakataliwa alafu unashinda kwa 84% .
Kuwa nyumbu ni adhabu kubwa
Maweeee!!...narudua tena lile lilikuwa jizi zoefu hkn mfanowe halafu linaiba kwa lazima.. kuliko waliofoji vyeti...barabara limejenga ki wiziwizi tu ili lipate sifa.lkn wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…