Bondpost
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 7,019
- 10,455
Kimyesi weweHata wewe akili ni za kukopa tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kimyesi weweHata wewe akili ni za kukopa tu
Ndipo akili zenu zilipoishia kufikiri!Acheni ushabiki maandazi na mjikite kwenye hoja!Huko kwao bado ni Tanzania na Kuna wananchi wanahitaji huduma wao, au watoto wao na wajukuu zao
Bora tu umelijua hiloAsante,sio ugomvi lakini!
Nimeshindwa kufahamu unachojaribu kujadili ila ume prove point yangu niliyosema as long as alofanya jambo au kusema jambo ni kutoka chama unachokipenda umekuwa kipofu na huwezi kukubali kuwa pamefanyika kosa. Sikulaumu kabisa hilo ndilo tatizo sugu la watanzania. Ama kwa kusema mimi ni mtu wa kaskazini, kwanza acha tabia za ukabila - tanzania hatuhitajo watu kama nyinyi. Pili hata sijui unamaanisha nini ila mie si mtu wa huko, mie kwetu ni visiwani!!!!! tena najivunia sana kuwa ni mtoto wa ki zanzibari!!!!Hivi siyo waTanzania nyie mnaosemaga serikali ipeleke maendeleo maana uhitaji unaongezeka kwa kuzaliana kila siku? Mnaweza kuanzisha huduma au biashara yotote na ikasimama kesho yake tu? Nasema hivi kila mTanzania ana haki, Acheni ubinafsi, na mala zote watu wenye kauli hizi ni wakaskazini, nawajua maana nipo hapa nafanya nao kazi ni miaka sasa, kauli za kubeza humu zinafanana Sana na wale nilio nao ofini
Punguza matumizi ya madawa ya kulevya wewe!Huna akili kabisa
1. Serikali haifanyi biashara kwenye huo uwanja
2. Hakuna biashara ya kuanzisha leo na kuanza kupata faida leo
Roho ya korosho haitakusaidiaupuuzi mtupu
Anapata piaVipi bibi hapati ndoto za uwanja?
huko kwenu mafuta ya kula lita moja shilingi ngapi mkuu. 😂Wenye wivu mtanyooka tu
unadhani hata anajua anaamini katika kitu gani huyo boya, msamehe bure mkuu , hawa ndio wale akiamka badala ya kumshukuru mola wake anamshukuru Rais kaamka, yani kuna viazi nchini huko acha tuhuko kwenu mafuta ya kula lita moja shilingi ngapi mkuu. 😂
yaani ndege inatua mara 3 kwa wiki , ina maana kwa mwezi inatua mara 12. Kwa hesabu hiyo kila inapotua inahudumia abiria 250/12 yaani abiria 20.83 karibia abiria 21. Kwa hiyo ndege inakuja na abiria 10 au 11 na kuondoka na abiria 11 au 10. Bombadier ina uwezo wa kubeba abiria wangapi? Is it viable?Walinda legacy mna kazi kweli, yaani abiria 250 kwa mwezi nayo unasifia!
Alishinda kwa uchafuziUnakataliwa alafu unashinda kwa 84% .
Kuwa nyumbu ni adhabu kubwa
Kaka mbona unaroho mbaya Kama Shetani mwana wa ibirisi. Bila shaka ndo Yale yenye vyeti fake yaliyopigwa rungu la kichwa.Ni wanafamilia wa Magu, Kalemani, na Dotto, hao ndio hupanda ndege hiyo, ni uwanja wa familia ya JPM, Rais wa hovyo kabisa kuwahi kuongoza nchi hii, hovyo kabisa
1.Uwanja wa ndege ni kivutio pia. Uwepo wa Airport unainfluence mtu kusafiri kwenda chato.250/30 =8.33
Sasa wastani wa abiria nane Kwa siku ni matumizi mabaya ya rasilimali watu na miundombinu hiyo ya uwanja na ndege!
Uwanja hauna tija hapo Chato!
Meneja wa Uwanja wa Ndege wa Chato amesema uwanja huo umefikia 95% ya ujenzi wake na kwamba uwanja huo umekuwa msaada mkubwa sana kwa wakazi wa Kanda ya Ziwa na nchi jirani.
Meneja amesema mpaka sasa kwa wastani wana hudumia abiria 250 kwa mwezi na ndege za Shirika la ATCL zinatua uwanjani hapo mara 3 kwa wiki. Pia Shirika la TANAPA wanatumia mara kwa mara uwanja huo kwa shughuli zao za uhifadhi.
My take.
Huu ni uthibitisho tosha kuwa kila alichofanya Magufuli alifanya kwa masilahi ya taifa hili, na ujumbe huu uwafikie wote wenye roho za korosho na wapinga maendeleo wote ikiwemo timu gaidi.
Waitani wa abiria 8 kwa siku,aache uongo, Chato Ni kijiji Cha wavuvi,hao abiria 8 kwa siku amewapata wapi?napendaga sana hoja za Elitwege ningeomba data za sasa za huu uwanja.
Maweeee!!...narudua tena lile lilikuwa jizi zoefu hkn mfanowe halafu linaiba kwa lazima.. kuliko waliofoji vyeti...barabara limejenga ki wiziwizi tu ili lipate sifa.lkn wapi.Unakataliwa alafu unashinda kwa 84% .
Kuwa nyumbu ni adhabu kubwa