Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Kwa logic yako, wewe huoni kuwa kuwa Chato pia itahudumia watu wa Geita na Bilahamuro kwa vile iko katikati? Na vile vile hujui kuwa huko pia kuna Mbuga za utalii za Burigi na Rubondo? Au kwa vile ulikuwa huzijui mbuga zile mpaka zilipoanza kutanganzwa na Magufuli ndiyo maana unadhani alijipendela wakati mbuga za Burigi zilianza tangu mwaka 1980, wakati zile za za kisiwani rubondo zipo tangu mwaka 1965 na watalii huwa wanakwenda huko pia.KIA unahudumia Moshi na Arusha na uko katikati!Nenda kaangalie unahudumia watalii na watz wangapi Kwa mwezi ndio utashangaa!
Sehemu kubwa ya arguments zako ni zile za kitoto zinazotokana na kutokuwa na uelewa wa mambo bali blah blah za kumchukia Magufuli tu.