Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Wakuu
Naona sasa wamiliki wa maeneo na biahsra zilizoharibiwa siku za maandamano wanaanza kujitokeza.
===
Mwekezaji na mfanyabiashara wa Kitanzania wa kampuni ya The Voice ameiomba serikali kuwasaidia baada ya klabu yao iliyopo Kinyerezi, jijini Dar es Salaam, kuharibiwa na kile alichokiita kundi la wahalifu waliokuwa wamechanganyika na waandamanaji.
Akizungumza na vyombo vya habari leo Novemba 5, Meneja wa klabu hiyo, Beni Mwangi, amesema tukio hilo limeleta hasara inayokadiriwa kufikia shilingi bilioni 2, na zaidi ya wafanyakazi 50 wako hatarini kupoteza ajira kutokana na uharibifu huo mkubwa wa vifaa na mali.
Ameomba mamlaka husika kuchukua hatua haraka kuwabaini wahusika na kusaidia kufufua biashara hiyo iliyokuwa ambayo ni chanzo cha ajira kwa wazawa.
Source Bongo FM