AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
..Watu wakitekwa na kuuwawa endeleeni kukaa kimya na kusena siasa haziwahusu
Duuh hili jibu ni funzo kwa upande wa pili
..Watu wakitekwa na kuuwawa endeleeni kukaa kimya na kusena siasa haziwahusu
Ni ukae side B au ukae side A ila huwezi kukaa koteMsilazimishe kila mtu ajiingize kwenye siasa....
Mbona hamuwanangi Simba na Yanga kukaa kimya, na Yanga kaenda mbali mpaka kuwapa hela hao ccm, lakini bado mnashabikia Yanga.....
Ukamuulize yule mnamuita baba wenu wa taifa, aliwezaje kuwaweka kwenye umoja usiofungamana na upande wowote.....Ni ukae side B au ukae side A ila huwezi kukaa kote
Ukae side A au ukae side B ila huwezi kukaa kote utakua mamlukiUkamuulize yule mnamuita baba wenu wa taifa, aliwezaje kuwaweka kwenye umoja usiofungamana na upande wowote.....
Hii ndiyo dawa ili raia wote wawe kwenye ''page'' moja. Tanzania imezaliwa upya. Uchawa au kukaa kimya watu wanapouawa ni kujitakiwa mabaya.