Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Kuna mtu katoka kusema kwamba hakuna kitu kibaya kama kukaa kimiya wakati wenzio wakilia
Vijana siku zote walikuwa walikuwa wanadai katiba mpya nyie mko kimiya leo hii limezuka jambo tumeasilika wote tunaoipenda CCM na tusioioenda ccm
Hii ndiyo dawa ili raia wote wawe kwenye ''page'' moja. Tanzania imezaliwa upya. Uchawa au kukaa kimya watu wanapouawa ni kujitakiwa mabaya.kwa haiyo mumefurahia yaliowakuta wenzenu?
Msilazimishe kila mtu ajiingize kwenye siasa....Kikundi au jamii flan inapotoa malalamiko inabidi watu wote waungane katika malalamiko hayo
Maana kikichafuka jamii zote tutaadhilika masikin kwa matajiri