Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Mwambie bwana meneja aache bangi pia aache kuwavutisha na wachezaji wakeUkata tu unakusumbua hapo bwawani. Lakini ukiulizwa kosa liko wapi utashindwa kueleza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambie bwana meneja aache bangi pia aache kuwavutisha na wachezaji wakeUkata tu unakusumbua hapo bwawani. Lakini ukiulizwa kosa liko wapi utashindwa kueleza
Dawa za kulevya ziko pale bwawani kuanzia Bosi Kanjibai hadi wachezaji akina BankaMwambie bwana meneja aache bangi pia aache kuwavutisha na wachezaji wake
Nakuhakikishia next time wala ganja wenu wakiitwa watawahi sanaDawa za kulevya ziko pale bwawani kuanzia Bosi Kanjibai hadi wachezaji akina Banka
Mimi nilikua najua timu, ni kile kikosi kinachocheza uwanjani tu, na Club ni Jumla viongozi na wachezaji, pia na mali zake.View attachment VID_34970830_071905_461.mp4Wangefungia timu nzima
We ni mweupe huna ulijualo unafuata mkumbo tu na njaa hapo bwawani.Nakuhakikishia next time wala ganja wenu wakiitwa watawahi sana
Na iwe fundisho siku nyingine wasirudieWe ni mweupe huna ulijualo unafuata mkumbo tu na njaa hapo bwawani.
Kwani kabla ya hili sakata walikuwa hawaripoti kambini? Walikuwa hawamo National team? Kocha kaita kikosi nje ya kanuni za soka
Mchezaji anatakiwa kuripoti timu ya taifa saa 72 kabla mchezo husika, na anatakiwa arudi klabuni kwake saa 24 baada ya mchezo, sasa huyu anawaita wachezaji siku 9 kabla ya mchezo sheria ya wapi?
unazi tu unakusumbuaUkata tu unakusumbua hapo bwawani. Lakini ukiulizwa kosa liko wapi utashindwa kueleza
Jibu swali hapo, kama huwezi wakusanye wenzako hapo Vyura vinginevyo endeleeni kukumbatia ujinga kwenye vichwa vyenu. Sina dawa zaidi ya hapoNa iwe fundisho siku nyingine wasirudie
hizo kanuni wanazjua wachezaji wa simba tu?We ni mweupe huna ulijualo unafuata mkumbo tu na njaa hapo bwawani.
Kwani kabla ya hili sakata walikuwa hawaripoti kambini? Walikuwa hawamo National team? Kocha kaita kikosi nje ya kanuni za soka
Mchezaji anatakiwa kuripoti timu ya taifa saa 72 kabla mchezo husika, na anatakiwa arudi klabuni kwake saa 24 baada ya mchezo, sasa huyu anawaita wachezaji siku 9 kabla ya mchezo sheria ya wapi?
Well Said. ....200%Ni dhahiri kuwa bwana Richard ni Mbuzi wa Kafara ili kulinda uongozi kwani kwa hali ya kawaida hayumkiniki kupingana na uamuzi wa uongozi.
Bila shaka wewe ni YANGA!Wamfungie na yule msemaji wao
Nani Wewe ni kiazi mbatata... Kanuni zilishavunjwa kwanini TFF kuomba ligi usimamishwe Kama Kocha Alivyoomba ili wachezaji wa ndani waingie kambini mapema.... Na ligi ikasimamishwa... Rage hakukosea kuwaita mbumbumbu...We ni mweupe huna ulijualo unafuata mkumbo tu na njaa hapo bwawani.
Kwani kabla ya hili sakata walikuwa hawaripoti kambini? Walikuwa hawamo National team? Kocha kaita kikosi nje ya kanuni za soka
Mchezaji anatakiwa kuripoti timu ya taifa saa 72 kabla mchezo husika, na anatakiwa arudi klabuni kwake saa 24 baada ya mchezo, sasa huyu anawaita wachezaji siku 9 kabla ya mchezo sheria ya wapi?
Mkichelewesha tena tunawafungia wachezaji kabisaJibu swali hapo, kama huwezi wakusanye wenzako hapo Vyura vinginevyo endeleeni kukumbatia ujinga kwenye vichwa vyenu. Sina dawa zaidi ya hapo
Huna akili, bichwa tu unalo. TFF iko chini ya FIFA, na sheria hiyo ndo hutumika duniani kote, nyie Vyura hamjui kitu labda tuwaulize kuhusu dawa za kulevya. Katibu mkuu wa Cecafa aliwaita nyie Vyura kuwa ni Mapopoma.Nani Wewe ni kiazi mbatata... Kanuni zilishavunjwa kwanini TFF kuomba ligi usimamishwe Kama Kocha Alivyoomba ili wachezaji wa ndani waingie kambini mapema.... Na ligi ikasimamishwa... Rage hakukosea kuwaita mbumbumbu...
Huna akili, bichwa tu unalo. TFF iko chini ya FIFA, na sheria hiyo ndo hutumika duniani kote, nyie Vyura hamjui kitu labda tuwaulize kuhusu dawa za kulevya. Katibu mkuu wa Cecafa aliwaita nyie Vyura kuwa ni Mapopoma.
Kuna nati zimelegea humo kichwani mwako... Hakika Wewe ni mbumbumbu.... aliyekwambia uitwaji wa wachezaji timu ya TAIFA ni sheria ni nani Haji Manara ...ile ni kanuni na sio sheria moja, mbili hata Kama ingekuwa sheria... Ni sheria ipi iliwapa Simba msimu wa 2016/17 kugoma kucheza mwezi mzima mpaka yanga wamalize viporo vyao!!?? .... Kama msimamizi wa hizo kanuni na sheria TFF wameamua kusimamisha ligi ili Kocha apate siku 9 za kukaa na wachezaji Wewe Nani ugome... Mkileta ujinga tunafungia na wachezaji wenyewe...Huna akili, bichwa tu unalo. TFF iko chini ya FIFA, na sheria hiyo ndo hutumika duniani kote, nyie Vyura hamjui kitu labda tuwaulize kuhusu dawa za kulevya. Katibu mkuu wa Cecafa aliwaita nyie Vyura kuwa ni Mapopoma.
Ingependeza zaidiWangefungia timu nzima
Kama msimamizi wa hizo kanuni na sheria TFF wameamua kusimamisha ligi ili Kocha apate siku 9 za kukaa na wachezaji Wewe Nani ugome... Mkileta ujinga tunafungia na wachezaji wenyewe...
...kwani iliitwa timu nzima !?Wangefungia timu nzima