Meneja wa Simba SC afungiwa mwaka mmoja kwa kuihujumu Taifa Stars

Nakuhakikishia next time wala ganja wenu wakiitwa watawahi sana
We ni mweupe huna ulijualo unafuata mkumbo tu na njaa hapo bwawani.

Kwani kabla ya hili sakata walikuwa hawaripoti kambini? Walikuwa hawamo National team? Kocha kaita kikosi nje ya kanuni za soka

Mchezaji anatakiwa kuripoti timu ya taifa saa 72 kabla mchezo husika, na anatakiwa arudi klabuni kwake saa 24 baada ya mchezo, sasa huyu anawaita wachezaji siku 9 kabla ya mchezo sheria ya wapi?
 
Na iwe fundisho siku nyingine wasirudie
 
We ni mweupe huna ulijualo unafuata mkumbo tu na njaa hapo bwawani.

Kwani kabla ya hili sakata walikuwa hawaripoti kambini? Walikuwa hawamo National team? Kocha kaita kikosi nje ya kanuni za soka

Mchezaji anatakiwa kuripoti timu ya taifa saa 72 kabla mchezo husika, na anatakiwa arudi klabuni kwake saa 24 baada ya mchezo, sasa huyu anawaita wachezaji siku 9 kabla ya mchezo sheria ya wapi?
hizo kanuni wanazjua wachezaji wa simba tu?
 
We ni mweupe huna ulijualo unafuata mkumbo tu na njaa hapo bwawani.

Kwani kabla ya hili sakata walikuwa hawaripoti kambini? Walikuwa hawamo National team? Kocha kaita kikosi nje ya kanuni za soka

Mchezaji anatakiwa kuripoti timu ya taifa saa 72 kabla mchezo husika, na anatakiwa arudi klabuni kwake saa 24 baada ya mchezo, sasa huyu anawaita wachezaji siku 9 kabla ya mchezo sheria ya wapi?
Nani Wewe ni kiazi mbatata... Kanuni zilishavunjwa kwanini TFF kuomba ligi usimamishwe Kama Kocha Alivyoomba ili wachezaji wa ndani waingie kambini mapema.... Na ligi ikasimamishwa... Rage hakukosea kuwaita mbumbumbu...
 
Huna akili, bichwa tu unalo. TFF iko chini ya FIFA, na sheria hiyo ndo hutumika duniani kote, nyie Vyura hamjui kitu labda tuwaulize kuhusu dawa za kulevya. Katibu mkuu wa Cecafa aliwaita nyie Vyura kuwa ni Mapopoma.
 
Mungu anisamehe ila mimi naamini Tanzania tuna safari ndefu saana, kama ilivyo kwenye mambo siasa, elimu n.k ndivyo ilivyo hata katika michezo.
 
Huna akili, bichwa tu unalo. TFF iko chini ya FIFA, na sheria hiyo ndo hutumika duniani kote, nyie Vyura hamjui kitu labda tuwaulize kuhusu dawa za kulevya. Katibu mkuu wa Cecafa aliwaita nyie Vyura kuwa ni Mapopoma.
Huna akili, bichwa tu unalo. TFF iko chini ya FIFA, na sheria hiyo ndo hutumika duniani kote, nyie Vyura hamjui kitu labda tuwaulize kuhusu dawa za kulevya. Katibu mkuu wa Cecafa aliwaita nyie Vyura kuwa ni Mapopoma.
Kuna nati zimelegea humo kichwani mwako... Hakika Wewe ni mbumbumbu.... aliyekwambia uitwaji wa wachezaji timu ya TAIFA ni sheria ni nani Haji Manara ...ile ni kanuni na sio sheria moja, mbili hata Kama ingekuwa sheria... Ni sheria ipi iliwapa Simba msimu wa 2016/17 kugoma kucheza mwezi mzima mpaka yanga wamalize viporo vyao!!?? .... Kama msimamizi wa hizo kanuni na sheria TFF wameamua kusimamisha ligi ili Kocha apate siku 9 za kukaa na wachezaji Wewe Nani ugome... Mkileta ujinga tunafungia na wachezaji wenyewe...
 
Kama msimamizi wa hizo kanuni na sheria TFF wameamua kusimamisha ligi ili Kocha apate siku 9 za kukaa na wachezaji Wewe Nani ugome... Mkileta ujinga tunafungia na wachezaji wenyewe...

Wewe ni katika mapopoma waliokubuhu kama alivyosema Katibu wa Cecafa Musonye. Hujui unachokiandika ila kuruka ruka kama chura. Taarifa ya TFF ilisema mechi za Azam, Simba, na Yanga zitasogezwa mbele, kwa siku alizoita yeye ligi haukusimamishwa, wakati ameita kikosi cha Taifa klabu ambazo hawana wachezaji katika timu ya taifa ilikuwa inaendelea mpaka ilipokuja kalenda ya FIFA kwa vilabu vyote. Ndo maana unabichwa kubwa lakini hamna kitu kichwani. Halafu jifunze maana ya kugoma na kuchelewa, wachezaji wala hawakugoma, bali walichelewa. Yaani hujui maana ya kugoma wala kuchelewa kambini.
 
Back
Top Bottom