TANZIA Meneja wa TANROADS Mkoa wa DSM, Mhandisi Ngusa Julius afariki dunia

TANZIA Meneja wa TANROADS Mkoa wa DSM, Mhandisi Ngusa Julius afariki dunia

6.jpg
 
Wanakufa pia. Unajua hujui nn kipo kwenye mwili wako, hujui udhaifu uliopo ndani. Unaweza kuwa mzima kabisa kumbe huwa una katatizo ndani ila kwa vile hushambuliwi na maradhi unakuwa salama. Vifo vipo vya watu wa aina zote.
Ukiwa ni kijana halafu unao (ukmwi), halafu ukutane na bwana Taji ,sasa hivi tuonane Paradiso
 
Vibonge wenzangu ni muda umefika tuanze mazoezi kupunguza uzito
 
Mpendwa Ngusa Julius ndo anazikwa/anapumzishwa muda huu kwenye nyumba yake ya milele.

Pumzika kwa amani mpendwa
 
Back
Top Bottom