Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeenh Heee!Tatizo la corona ni moja inapiga chinichini , inatakiwa itandike juu , utadhani imekula rushwa bhana !
Imeanza taratibuEeenh Heee!
Hapana ni woga/hofu.
Nayo inaogopa kugusa huko. Kwanza kuna sala/dua nyingi huko, itathubutu vipi?
Hili uliloandika hapa, hata hawataki kabisa kulisikia, lakini ukweli ndio huo. Ugonjwa unaenea bila kuwepo tahadhari yoyote.Imagine kwenye hiyo picha ya kulia ni juzi alikuwa anakagua daraja la salender huku akiwa hajavaa barakoa.Maana yake watu wote hapo amewaambukiza Corona na wao wataenda kuambukiza wengine.Tanzania itaangamia kwa Corona![emoji24][emoji24][emoji24]View attachment 1703631
Wamefunzwa na somo wamelikubali na kulielewa.Ngoma yetu ngumu.
Huvi hawa wanaojichanganya bila ulazima wanakuwa hawaelewi kuhusu maambukizi au wana suicide mission ndogondogo tu?
wewe subiri mbona italia walikufa madaktari wote wataja kusema its matter of timeHili uliloandika hapa, hata hawataki kabisa kulisikia, lakini ukweli ndio huo. Ugonjwa unaenea bila kuwepo tahadhari yoyote.
Hata madaktari, wanatoa waraka wa kisiasa kama ule uliotolewa juzi. Hawasemi chochote kuhusu maenezi na njia za kupambana na kusambaa kwa ugonjwa.
Wote wanakuwa washiriki katika kuangamiza waTanzania.
Pole sana.Kwa masikitiko, tena makubwa, nimepata habari za kifo cha Manager wa TANROADS mkoa wa Dar es Salaam, Mhandisi Ngussa.
Alikuwa rafiki yangu zaidi ya miaka 20. Kwa kweli nimeumia.
Nimeongea naye last week kumpa pole ya changamoto....!
Mungu amuweke mahali pema.
RIP.
View attachment 1705030
jitanganyeSijaona masikini akifa na Corona
Hapana mkuu,Tatizo la Corona bwana inachagua watu muhimu tu.
wakaambukizwa nn???Na hapo si ajabu wengine wakaambukizwa.
Tanzania ni salama.piga nyungu twice daily, morning &late evening.Kabisa mkuu maana kwa ninavyoona hapa watu kutoka vijijini na mjini wanakuja
Na wale wataoleta/sindikiza mwili wa marehemu kutoka huko alikofia watachanganyikana na hawa...
Changamoto za upumuaji.wakaambukizwa nn???