TANZIA Meneja wa TANROADS Mkoa wa DSM, Mhandisi Ngusa Julius afariki dunia

TANZIA Meneja wa TANROADS Mkoa wa DSM, Mhandisi Ngusa Julius afariki dunia

Juzi usiku mtaa wa msimbazi zilipita ambulances mfululizo ,zikitokea temeke kuelekea muhimbili kwa spidi ya hatare
 
Inaonyesha hii kitu inapenda sana mabonge na wazee
Ikipiga hodi kwako ikakuta kuna presha, kisukari,au kinga yako ipo kwenye mapambano na virusi vingine bas hapo kuuteka mwili wako hata siku mbili haziishi.

Ili uweze kuhimili vita hii vikute jeshi la kinga zako halijapambana muda mrefu.
 
Rip comrade eng.tutakumbuka kwa uchapakazi wako,ktk kulijenga taifa.japo huku watazusha mengi juu ya Safari yako uliyotutoka.tunaamini ni mapenzi ya Allah.
 
Kama ni ya upumiaji pia mkuu kuwa wazi ili watu ambao wanaona kuwa hii sio ishu serious waanze kuelewa..misiba ni mingi sana.
Ndugu zangu sina haja ya kupaza sauti kila mtu anajua gonjwa linalo tumaliza sasa hivi....CORONA......CORONA.......CORONA.......CORONA!
Tuchikue tahadhari na Mungu atusaidie,
 
Acha kujidanganya ,nafanya kazi kwenye hospitali kubwa sana hapa nchini watu wanakufa,mabinti wadogo wala siyo hivyo unavyodhani ww
Duuu hiyo Hospitali kubwa sana hapa Tanzania ipo wapi mkuu?
 
Tatizo la Corona bwana inachagua watu muhimu tu.
... acheni dhana potofu jamani! Umewasikia kwa sababu ni muhimu; mitaani huko binadamu wanapukutika utawajulia wapi? Mtaani kwetu usiku kuamkia leo, misiba miwili imetokea ghafla. Ni hatari sana hili dude; halichagui.
 
Imagine kwenye hiyo picha ya kulia ni juzi alikuwa anakagua daraja la salender huku akiwa hajavaa barakoa.Maana yake watu wote hapo amewaambukiza Corona na wao wataenda kuambukiza wengine.Tanzania itaangamia kwa Corona![emoji24][emoji24][emoji24]
115337.jpg
 
Back
Top Bottom