DOKEZO Meneja wa TARURA Mwanza na mhasibu wanajihusisha na vitendo vya ubadhilifu wa Fedha za Umma

DOKEZO Meneja wa TARURA Mwanza na mhasibu wanajihusisha na vitendo vya ubadhilifu wa Fedha za Umma

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Tarura wataleta tume uchwara baadae watasimishwa Kazi maana umemwaga kwenye mitandao. Baadae watarudishwa na kupewa vyeo. Watawazuga kwa muda kuangalia upepo. Ila jiandae wakubwa zao watakutafuta wakumalize, kwa njia zao.

Meneja wa namna hiyo wapo Tanzania nzima, wanakata posho za watumishi na rushwa za wakandarasi na kupeleka juu. jiandae. Victa Seif na kundi lake watakutafuta wakujue.

Serikali imeweka pesa nyingi Sana Tarura ila matumizi yake kuna wizi. Hayo ya mwanza ni kama tone la maji.

Serikali itafute mtendaji mkuu mwingine ipeleke Tarura. Seff anakusanya pesa kwa namna yoyote kupitia mameneja wake wa mikoa. Wananyonga watumishi na wakandarasi bila huruma. Mtu ana miaka 70 kasoro, muda wowote anaelewa ataondolka, lazima ajiandae.

Ulmeleta hii habari, jiandae kwa makubwa, umegusa hiyo cartel.
 
Back
Top Bottom