Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Una hold namba mbili kwa sekunde mbili tu itatokea unaiselectWe mkali,hadi kuweka ki square kwenye simu.tupe maujuzi.
Sent from my iPhone 5s using Tapatalk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una hold namba mbili kwa sekunde mbili tu itatokea unaiselectWe mkali,hadi kuweka ki square kwenye simu.tupe maujuzi.
Unatumia akili kweli au kuna mtu kakuazma akili ?kwa hiyo unafuraia watu kupotezwa na kuuliwa? Aisee tuna safari ndefu sana kama ndio vijana wa nchi yetu wapo hivi...bora JPM aendelee kubana mpate akilii wish aina za siasa za kenya zihamie kwetu aisee...ila shida zetu sisi ni waoga sana!
Sent using Jamii Forums mobile app
I see
i wish aina za siasa za kenya zihamie kwetu aisee...ila shida zetu sisi ni waoga sana!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa kutakuwa na Mkono wa Serikali...Breaking news amepatikana amekufa
Maiti ipo city montuary
Sources Standard Kenya
Dah! Sasa kwa nini serikali isingempa ulinzi mtu muhimu kama huyo?Huyu marehemu amekutwa amekatwa mikono yake kwasababu ni yeye pekee alikuwa anauwezo wa kuingia kwenye mtandao wa majina ya wapiga kura kwa kutumia finger print wachunguzi wanasema kuna uwezekano wamemkataa mikono kutumia finger print ku hack mfumo huo.
Uko sahihi kabisa mkuu! Yani kuna viongozi wapo tayari kuona damu inamwagika ili asing'atuke madarakani.Ila nafkri wananchi ndo wenye maamuzi ya mwisho na sio kiongozi,mfano kwa mataifa ya ulaya.lkn Africa wananchi kama wamelogwa hivi.Mkuu.. Wala siyo siasa za Kenya tu bali Afrika kwa ujumla siasa zao ni za ajabu sana
Kwasababu uchu wa madaraka ni mkubwa zaidi kuliko uchu wa maendeleo, ambapo husababisha kutatiza usalama kwa raia wao.
Iwe iwavyo, ni bora Uhuru awe Rais wa Kenya na siyo Odinga .Naona Jubilee wana hali Mbaya sana...kipindi hiki inaonyesha RAILA na NASA wamewabana kuanzia kwa wapiga kura adi upande wa Intelligence...Uhuru na Ruto wakicheza ICC itawahusu na this time hawatachomoka cz ata 2013 walifanya usanii hawakushinda
Sent using Jamii Forums mobile app
why?Iwe iwavyo, ni bora Uhuru awe Rais wa Kenya na siyo Odinga .
Hatari sana hii,hiyo 8 august sijui kama itapita salama aisee.Huyu marehemu amekutwa amekatwa mikono yake kwasababu ni yeye pekee alikuwa anauwezo wa kuingia kwenye mtandao wa majina ya wapiga kura kwa kutumia finger print wachunguzi wanasema kuna uwezekano wamemkataa mikono kutumia finger print ku hack mfumo huo.
Hii picha kwa hisani ya Gazeti la Daily Nation hapa maiti ya marehemu ikifanyiwa mipango ya kuhamishwa kutoka chumba cha maiti City kwenda Lee Funeral Home. Kwa mjibu wa mwenyekiti wa tume maiti ya marehemu inaonyesha aliteswa kabla ya kukutwa na mauti
Hii maiti ya msando ilipelekwa city mortuary Saturday at 11 30 am na hiyo maiti iliokotwa sehemu ya kikuyu Kwanini police walinyamaza mpaka leo kusema wameokota maiti wakati wanajua kuwa msando was missing person. Many questions the government of Jubilee inatakiwa kujibu. Msando alikuwa deputy director of IEBC na ndio alikuwa ni mtu muhimu sana kwenye tume hii.Hatari sana hii,hiyo 8 august sijui kama itapita salama aisee.
Na alitoa taarifa ya kutishiwa maishaDah! Sasa kwa nini serikali isingempa ulinzi mtu muhimu kama huyo?