Meneja wa Teknolojia wa tume ya uchaguzi Kenya IEBC atoweka

Meneja wa Teknolojia wa tume ya uchaguzi Kenya IEBC atoweka

i wish aina za siasa za kenya zihamie kwetu aisee...ila shida zetu sisi ni waoga sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
Unatumia akili kweli au kuna mtu kakuazma akili ?kwa hiyo unafuraia watu kupotezwa na kuuliwa? Aisee tuna safari ndefu sana kama ndio vijana wa nchi yetu wapo hivi...bora JPM aendelee kubana mpate akili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo hatakuwa hai.. Watamkuta kando kando ya bahari/maji au pembeni ya barabara huko kenya ni mamafia...

Anaekulinda ndiyo mchonga dili...
 
hukuti kenya wanasiasa chafu sana kama zetu!kwetu jitu zima linamsema mtu mgonjwa!kenya wanasiasa zautaniutani tuu had raha! tena wenywewe ndowanasiasa kwelikweli sio sie huku full visasi
 
Huyu marehemu amekutwa amekatwa mikono yake kwasababu ni yeye pekee alikuwa anauwezo wa kuingia kwenye mtandao wa majina ya wapiga kura kwa kutumia finger print wachunguzi wanasema kuna uwezekano wamemkataa mikono kutumia finger print ku hack mfumo huo.
Hii picha kwa hisani ya Gazeti la Daily Nation hapa maiti ya marehemu ikifanyiwa mipango ya kuhamishwa kutoka chumba cha maiti City kwenda Lee Funeral Home. Kwa mjibu wa mwenyekiti wa tume maiti ya marehemu inaonyesha aliteswa kabla ya kukutwa na mauti
 
Attachments

  • image.jpeg
    image.jpeg
    55.9 KB · Views: 19
Huyu marehemu amekutwa amekatwa mikono yake kwasababu ni yeye pekee alikuwa anauwezo wa kuingia kwenye mtandao wa majina ya wapiga kura kwa kutumia finger print wachunguzi wanasema kuna uwezekano wamemkataa mikono kutumia finger print ku hack mfumo huo.
Dah! Sasa kwa nini serikali isingempa ulinzi mtu muhimu kama huyo?
 
Mkuu.. Wala siyo siasa za Kenya tu bali Afrika kwa ujumla siasa zao ni za ajabu sana

Kwasababu uchu wa madaraka ni mkubwa zaidi kuliko uchu wa maendeleo, ambapo husababisha kutatiza usalama kwa raia wao.
Uko sahihi kabisa mkuu! Yani kuna viongozi wapo tayari kuona damu inamwagika ili asing'atuke madarakani.Ila nafkri wananchi ndo wenye maamuzi ya mwisho na sio kiongozi,mfano kwa mataifa ya ulaya.lkn Africa wananchi kama wamelogwa hivi.
 
Naona Jubilee wana hali Mbaya sana...kipindi hiki inaonyesha RAILA na NASA wamewabana kuanzia kwa wapiga kura adi upande wa Intelligence...Uhuru na Ruto wakicheza ICC itawahusu na this time hawatachomoka cz ata 2013 walifanya usanii hawakushinda

Sent using Jamii Forums mobile app
Iwe iwavyo, ni bora Uhuru awe Rais wa Kenya na siyo Odinga .
 
Huyu marehemu amekutwa amekatwa mikono yake kwasababu ni yeye pekee alikuwa anauwezo wa kuingia kwenye mtandao wa majina ya wapiga kura kwa kutumia finger print wachunguzi wanasema kuna uwezekano wamemkataa mikono kutumia finger print ku hack mfumo huo.
Hii picha kwa hisani ya Gazeti la Daily Nation hapa maiti ya marehemu ikifanyiwa mipango ya kuhamishwa kutoka chumba cha maiti City kwenda Lee Funeral Home. Kwa mjibu wa mwenyekiti wa tume maiti ya marehemu inaonyesha aliteswa kabla ya kukutwa na mauti
Hatari sana hii,hiyo 8 august sijui kama itapita salama aisee.
 
Hatari sana hii,hiyo 8 august sijui kama itapita salama aisee.
Hii maiti ya msando ilipelekwa city mortuary Saturday at 11 30 am na hiyo maiti iliokotwa sehemu ya kikuyu Kwanini police walinyamaza mpaka leo kusema wameokota maiti wakati wanajua kuwa msando was missing person. Many questions the government of Jubilee inatakiwa kujibu. Msando alikuwa deputy director of IEBC na ndio alikuwa ni mtu muhimu sana kwenye tume hii.
 
Back
Top Bottom