Meneja wa TRA Kibondo akamatwa na meno ya tembo

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mfumo aliokua anatumia jamaa ni WA kizamani sana, how comes unakaa front Kwa biashara hiyo? Wenzake hata simu za dili hizo anaenda kusajili burundi Kwa majina ya warundi na simu ananunua kulekule burundi Kwa jina la mtu wa kule, mawasiliano yote anayafanya Kwa kiswaswadu huko buja, na hakuna kutoa cod kizembe mnaongelea mihogo kumbe ni pembe, , well unakua na boda wako mmoja makini wewe uko mbele na gari unasafisha njia na kujua doria yupo nani na wako sehemu gani boda anafuata nyuma, na boda anakua na escort nyuma yake hadi mnafika, ikiwa noma mzigo unapigwa chini mnatembea, tatizo wanapanga dili za magendo wakiwa bar
 
Umeongea kiweredi
 
God damn it, mshikaji alikuwa kashatoboa arifu, lakini mbona majambazi ya pale bungeni tunashindwa kuyashughulikia kama kinyaaaa??
 
Kuna watu watamtetea kuwa hausiki wamemsingizia tu, tusubiri mahakama iamue. Na hizo number plates zote za nini?
Wahuni wanakuwekea tu na hizo plate ili kusolidify madai yao, kwani wkt anakamatwa ulikuwepo? Waasimamisha gari wanatoa meno kwenye gari lao wanaweka kwako, wanatoa hizo plate wanaweka kwako mchezo kwisha
 
Huyu si jambazi kabisa
Utakuta na SMG anajua kutumia
Kama anapeleka na Burundi basi tena
 
Viongozi vijana !!!!!!
Baada ya kufanya tafiti nyingi za kina kabisa kuhusiana na masuala ya mikasa kama hii, imebainika dhahiri kwamba kuna Mambo mengi sana ambayo huwa yapo yamejificha nyuma ya Kesi za namna hii. Kuna masuala ya Visasi kwenye masuala haya.

Mathalani, mwanzoni mwa miaka ya nyuma kati ya 2000 na 2009, Mwalimu mmoja wa Shule moja ya Sekondari (nisingependa kuitaja jina) alikuwa ana mahusiano na Mke wa DSO katika Wilaya hiyo aliyokuwepo huyo Mwalimu. Wakati huyo DSO alipopata taarifa hizi allisuka mipango kwa kushirikiana na baadhi ya Askari Polisi wasio waadilifu, walimbambika Kesi ya Uvakaji wa Mwanafunzi wake mmojawapo katika Shule aliyokuwa akifundisha. Yule Mwalimu alihukumiwa kifungo cha miaka 30 jela, alikuja kutolewa baadaye Sana baada ya kushinda Kesi ya Rufaa Mahakama Kuu. Nakumbuka Hukumu ya Mhe. Jaji Mihayo ndiyo iliyomnusuru yule Mwalimu kutoka gerezani na kuachiwa huru.
 
Reactions: K11
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…