Jeneza la simba day lamfungisha virango meneja wa uwanja wa benjamin mkapa godon msajigwa.
=====
Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imemwondoa Meneja wa Uwanja wa Benjamin Mkapa, Gordon Nsajigwa kwa kushindwa kusimamia matumizi endelevu ya uwanja huo. Wizara imesema Nsajigwa atapangiwa majukumu mengine na nafasi hiyo itajazwa mara moja.
Kama kisa cha kufukuzwa ni hicho sawa... lakini mamlaka imkanye pia yule shabiki wetu wa YANGA anayeingia na njiwa uwanjani... ule ni unyanyasaji na utesaji wa wanyama, haufai hata kidogo
Ume uwanja ni kitega uchumi cha wizara. Kuna kumbi za mikutano, kumbi za sherehe nk mbali na kuandaa mechi na mengineyo kama kushoot video matangazo. inawezekana huyo meneja hajameet target sawasawa alizopewa ukizingatia wizara ya habari ndo wizara yenye bajeti ndogo sana. acha kukurupuka
Kuhusu ushabiki mashabiki waepuke kutumia mambo ya dini zote ikiwemo ushirikina kuigiza. Utani wa mpira ufuate maudhui yake, nje na hapo ni kero kwa wenye imani hiyo