Meneja wa Uwanja wa Benjamin Mkapa, Gordon Nsajigwa atumbuliwa, Sasa kupangiwa Majukumu mengine

Meneja wa Uwanja wa Benjamin Mkapa, Gordon Nsajigwa atumbuliwa, Sasa kupangiwa Majukumu mengine

Mbona barua inaonesha shida sio jeneza kama mleta mada. Ukiniambia sababu ni kushindwa kusimamia matumizi ya eneo la kuchezea kidogo inaweza leta maana
 
Huenda ikawa ni kushindwa kusimamia maliwato za uwanja...nimesikia mlalamiko yanayotolewa na mashabiki hasa wa jinsia ya kike yanatia simanzi sana.

Hakika aondolewe atafutwe Mtu anayeweza kusimamia.
 
Barua hii inatembea mitandaoni, Jana kumefanyika nini hadi meneja aondolewe ghafla. Kosa lake ni lipi hasa?
IMG-20220809-WA0020.jpg
 
Ila utopolo hi Vita mliyoianzisha hamtaiweza.mamlaka ni UKUTA.ukipiga ngumi utaumia mwenyewe
 
Uwanja majan yamechoka. Vyoo hovyo.. uwanja mzur kama ule ni aibu. Ndomana kapigwa chin
Itakuwa ni ugeni wa CAF na FIFA officials na tunaomba mashindano ya Afcon yafanyike TZ lazima wakague , lakini kiwanja kina hali mbaya vyoo vichafu sana pitch ubora umechakaa.Walikuwa wapi siku zote sasa kama vitu vidogo hivi vinatushinda je mega projects tutaweza solution ni kuingiza private sector ktk management
 
Back
Top Bottom