Meneja wa Uwanja wa Benjamin Mkapa, Gordon Nsajigwa atumbuliwa, Sasa kupangiwa Majukumu mengine

Meneja wa Uwanja wa Benjamin Mkapa, Gordon Nsajigwa atumbuliwa, Sasa kupangiwa Majukumu mengine

Hapo ndipo Mchengerwa anapoonyesha utofauti. Pitch in vipara na viti imepauka.
 
Huu uwanja ni WA watanzania wote, hii kuwapa watu Kwa hisani wakati hawajui kuendesha biashara ni Makosa, watafute mtu mwenye sifa na uwanja uendeshwe kibiashara na kuwa na mifumo ya kidigitali na Sio huu upigaji
 
Jeneza la simba day lamfungisha virango meneja wa uwanja wa benjamin mkapa godon msajigwa.

View attachment 2319580
=====

Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imemwondoa Meneja wa Uwanja wa Benjamin Mkapa, Gordon Nsajigwa kwa kushindwa kusimamia matumizi endelevu ya uwanja huo. Wizara imesema Nsajigwa atapangiwa majukumu mengine na nafasi hiyo itajazwa mara moja.

View attachment 2319453
Kile kitendo hakikuwa cha kistaarabu.
Simba nao wajitathmini, it was uncouth!
 
Kama kisa cha kufukuzwa ni hicho sawa... lakini mamlaka imkanye pia yule shabiki wetu wa YANGA anayeingia na njiwa uwanjani... ule ni unyanyasaji na utesaji wa wanyama, haufai hata kidogo
Si hua anawaachia
 
Back
Top Bottom