Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
uko sahihi kaka naitafuta ile clipkama kisa cha kufukuzwa ni hicho sawa... lakini mamlaka imkanye pia yule shabiki wetu wa YANGA anayeingia na njiwa uwanjani... ule ni unyanyasaji na utesaji wa wanyama, haufai hata kidogo
Kuta Zina kutu tena!!?? Au michirizi we Mzee🤣🤣🤣Uwanja wakisasa Tv ya mwaka 2000 kiukweli kashindwa kabisa kuhudumia uwanja wetu
Kuta za ndani ya uwanja zina kutu hadi inatia aibu
Ila yote ni ishara ya kifoHawa walibaki nalo huko jukwaani hawakulishusha kwenye Pichi
Huyo msanii ni muislam! Kwann wasitumie imani za kiislam??Si ni sanaa tu, mbona tunaingilia burudani kwa mambo ambayo sio tangible na ni imani tu, kuna mtu hapo amepata hela kutengeneza hizo jeneza, kuna muuza chuma na midumari, muuza mba, msafirishaji, na wote probably wanalipia leseni zao serikali inapata kipato apo, Serikali yenyewe imefanya nini ? Kuajiri haiwezi kazi ni kukandamiza juhudi kwa kuwaza kama zama za Roma, tunapaswa kuwaza nje ya Box seeing the bigger picture.
Wakristo mbona hatuna shida na hilo swala,ingekuwa ni jeneza ka ile dini nyingine,ungesikia sijui kuna shura sijui fwata sijui takbiir
Hapo hakuna jeneza ni sanduku tu lililoandaliwa mfano wa jeneza,lakini lile la simba ni jeneza kweli,msalaba wa kweli na watu waliovaa kama wachungajiHawa sijui walipita wapi au walilikuta humo humo
View attachment 2319460
Halafu sijui ni kwa nini wasanii wa kiislam hupenda sana kutumia maudhui ya kikristo kufanya upumbavu wao!Simba wamponza Meneja Uwanja wa Mkapa,
WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa leo tarehe 9, 2022 amemuagiza Katibu Mkuu wizara hiyo, Dk. Hassan Abbasi kumpangia majukumu mengine Meneja wa Uwanja wa Benjamini Mkapa, Godon Nsajigwa kwa kushindwa kusimamia matumizi ya uwanja huo. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea).
Hatua hiyo imekuja ikiwa ni siku moja imepita baada ya Klabu ya Simba kuadhimisha sherehe za kilele ya Siku ya Simba ‘Simba Day’ na kuibu mjadala kuhusu baadhi ya burudani zilizotolewa na wasanii waliolikwa na klabu hiyo.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa umma na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, John Mapepele imesema Meneja huyo anapangiwa majukumu mengine kwa kushindwa kusimamia matumizi endelevu ya Uwanja wa Benjamini Mkapa.
Dk. Abbasi akieleza utekelezaji wa agizo hilo, amesema tayari taratibu zimekwishaanza za kupangiwa majukumu mengine nna nnafasiuo hiyo inatarajiwa kusazwa mara moja.
Itakumbukwa kuwa katika tamasha hilo la Simba Day lililofanyika jana Jumatatu tarehe 8 Agosti, 2022, msaani wa Bongofleva, -Khalid Ramadhani Tunda maarufu kama Tunda Man aliingia katika uwanja wa Benjamini Mkapa akiwa amebebwa katika jeneza pamoja na msalaba uliokuwa na maneno ya dhihaka kwa watani wao wa jadi Yanga yaliyosomeka “Kifo cha Utopolo.”
Staili hiyo ya Tundaman kuingia katika tamasha hilo, imebua mjadala na kuwaibua baadhi ya viongozi wa dini akiwamo Askofu Msaidizi wa Jimbo Katoliki la Bukoba, Methodius Kilaini ambaye mapema leo amelaani kitendo cha klabu hiyo ya Simba kumruhusu msanii huyo kutumbuiza kwa kutumia msalaba na kufanya dhihaka.
Kitendo hicho Askofu Kilaini amesema ni “dharau na kufuru kubwa kwa waamini wakristu na wote wanaoamini walikombolewa katika msalaba huo.
Vyoo ni vichafu sana na maji hakuna,swali mamlaka haikuona kabla ya mechi?Na alishindaga meneja bora wa uwanja🤔Simba wamponza Meneja Uwanja wa Mkapa,

Nani alisema kwamba jeneza ni dini ? Hata Yesu alizikwa kwa sanda kwenye pango bila jeneza, hizo ni tamaduni za kizungu tu zisitufanye tufarakane.Huyo msanii ni muislam! Kwann wasitumie imani za kiislam??
Sasa uwanja wa Uhuru na Taifa una tofauti gan eneo la pitch?Mgwaride hua yanafanyikia Uhuru
Umesahau Gigy money aliwaponza Wasafi wakafungiwaJeneza kuingizwa uwanjani na msanii kunauhusiano Gani na Team ya SIMBA? Ni sawa na msanii kuingia uwanjani kwa kamba, akidondoka team nayo inahusukaje? Hilo ni manjonjo ya Msanii tu.
Uhuru kuna nyasi bandia Lupaso asiliaSasa uwanja wa Uhuru na Taifa una tofauti gan eneo la pitch?
Mashindano ya Afcon yafanyike Tanzania kwa viwanja gani mlivyonavyo? Hako kauwanja kamoja?Itakuwa ni ugeni wa CAF na FIFA officials na tunaomba mashindano ya Afcon yafanyike TZ lazima wakague , lakini kiwanja kina hali mbaya vyoo vichafu sana pitch ubora umechakaa.Walikuwa wapi siku zote sasa kama vitu vidogo hivi vinatushinda je mega projects tutaweza solution ni kuingiza private sector ktk management