Jeneza la simba day lamfungisha virango meneja wa uwanja wa benjamin mkapa godon msajigwa.
View attachment 2319580
=====
Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imemwondoa Meneja wa Uwanja wa Benjamin Mkapa, Gordon Nsajigwa kwa kushindwa kusimamia matumizi endelevu ya uwanja huo. Wizara imesema Nsajigwa atapangiwa majukumu mengine na nafasi hiyo itajazwa mara moja.
View attachment 2319453