Bekabundime
JF-Expert Member
- Aug 6, 2014
- 2,017
- 1,733
Yaani salaaa ndio mwenye pesa,au WCB pumbavu Mimi navyojua WCB inatumiwa na Bashite tu hamna zaidi ya hapo.AISEE NAUONA MWISHO WA CLOUDS MEDIA.TATIZO SASA ANAPAMBANA NA WATU WENYE PESA NA MIZIZI PIA.SIO KIPINDI CHA HARAKATI ZA KINA VINEGA NA ANTIVIRUS
Pole kwa kuwa na tatizo na kifikira juu ya shingo yako. Bila shaka shingo yako imebeba mzigo ambao hauna faida kwa jamii.Najua sallam anajua diamond katengenezwa na hiyo media ata aseme ukweli kiasi gani clouds watabaki clouds najua sallam anategemea umaarufu wa diamond ajua anaweza yeye akawa anguko la diamond hii ni media ya pili kubwa wanakuwa na bifu nayo hiyo wasafi fm sijui wasafitv aiwezi kuwa mnazi mara moja tu ajue kuna siasa za biashara kuna media shindani azitakuwa upande wake media zote zitakuwa zinafanya siasa za biashara apo ndio anguko lao litakapokuja diamond anatakiwa ajue na timu yake kuna muda wa kukaa kimya na kufanya biashara ya muziki wake mafanikio uja na kiburi yanapofika mahali fulani kiburi cha mafanikio kikitumika vibaya kinaweza kusababisha anguko lako kwenye maisha usitegemee kuwa kwa kuwa fulani ana ukaribu na fulani itakuwa rais kwetu sisi kufika sehemu fulani sio kwenye biashara za ushindani dunia ya sasa kutegemea viongozi fulani
Kwenye ukurasa wake wa instagram amesema wcb__wamekataa__kuwakaa
Je ana maana gani?
UPDATES
Vinega AntVirus walisema haya wakapuuzwa!!Mwisho wa ubaya aibu...! haiwezekani kila siku watu wana lalamika juu yako... mbona hawa lalamikii wengine...? wewe nani? maisha hayapo hivyo....
ukiona kusaga ana husishwa na vitu vizuri vyote vilivyo nyuma ya kusaga na sio ruge lazima ujiulize kuna nini?
Heshima yako..[emoji125] [emoji125] [emoji125] nimepita kukuasalimiaWcb wanapata kichwa sababu ya bashite yetu macho
ShikamooHeshima yako..[emoji125] [emoji125] [emoji125] nimepita kukuasalimia
Sitaki,sijafika level za "kunishikamoo"Shikamoo
Acha inferiority complex, E FM kabla haina mwaka alishamkimbiza huyo mawingu mpaka akawa anaiba watangazaji pamoja na theme za vipindi. Kila kitu kinawezekana acha uoga, muhimu ni unaingia na strategy gani???Sio rahisi wasafi tv kufanikiwa kwa haraka pamoja na kwamba diamond anajina kubwa hauwezi ukaanza biashara na kuanza kushindana na watu waliopo zaidi ya miaka 10 kwenye soko hili swala linahitaji umakini mkubwa vinginevyo mtu unapata hasara
kunywa belaire nakuja kulipa.....HAHAHAAA MNAOMBEAGAAAAAAAA AANGUKE NI BASI TU MNASHINDWA,KWAN NI MARA YA KWANZA HAYA MAMBO KUTOKEA
MNA HOOOOFU WAKATI WENYEWE HAWANA HOFU,JUZI TU MWEMBE YANGA WAMEWAITA WATU HAKUNA ALIYEWASAIDIA,ACHENI UNYONYAJI NA HAO MEDIA BWANYENYE ZAKO
UNAPEEENDA KUONA WATU WAKIOMBA MSAMAHA KAMA KINA RUBY NA VINGINE VITOTO VITOTO
YANI WATU WAPAMBANE KUJIKUZA BASI NYI NDO MJIKUTE MKIJIONA MMEMKUZA MTU
BROTHER HII NI NGUVU YA UMMA WANAENDA KUKUTANA NAYO HAO CLOUDS, HAWATOAMINI
WANAONA KAMA WATAIBIWA WATANGAZAJI NDO MANA WAMELETA HII TIFU.
hiki nikipindi cha dot.com wewMedia ni kitu kingene asee, ukiwa kazi zako unategemea media basi usithubutu kupambana nayo.
mkuu unapenda mifereji ya maji machafu..We dada mambo vp, mbona unanidatisha na makalio yako hivi? You are so beautiful queen of the man.....