Meneja wa WCB, Sallam SK atangaza kuachia ukweli wote muda mfupi ujao

Meneja wa WCB, Sallam SK atangaza kuachia ukweli wote muda mfupi ujao

AISEE NAUONA MWISHO WA CLOUDS MEDIA.TATIZO SASA ANAPAMBANA NA WATU WENYE PESA NA MIZIZI PIA.SIO KIPINDI CHA HARAKATI ZA KINA VINEGA NA ANTIVIRUS
Yaani salaaa ndio mwenye pesa,au WCB pumbavu Mimi navyojua WCB inatumiwa na Bashite tu hamna zaidi ya hapo.
 
Najua sallam anajua diamond katengenezwa na hiyo media ata aseme ukweli kiasi gani clouds watabaki clouds najua sallam anategemea umaarufu wa diamond ajua anaweza yeye akawa anguko la diamond hii ni media ya pili kubwa wanakuwa na bifu nayo hiyo wasafi fm sijui wasafitv aiwezi kuwa mnazi mara moja tu ajue kuna siasa za biashara kuna media shindani azitakuwa upande wake media zote zitakuwa zinafanya siasa za biashara apo ndio anguko lao litakapokuja diamond anatakiwa ajue na timu yake kuna muda wa kukaa kimya na kufanya biashara ya muziki wake mafanikio uja na kiburi yanapofika mahali fulani kiburi cha mafanikio kikitumika vibaya kinaweza kusababisha anguko lako kwenye maisha usitegemee kuwa kwa kuwa fulani ana ukaribu na fulani itakuwa rais kwetu sisi kufika sehemu fulani sio kwenye biashara za ushindani dunia ya sasa kutegemea viongozi fulani
Pole kwa kuwa na tatizo na kifikira juu ya shingo yako. Bila shaka shingo yako imebeba mzigo ambao hauna faida kwa jamii.

Ugomvi ni maslahi ambayo huyo Ruge anapambana kuwakwamisha wenzake wasifanikiwe. Anachotakiwa aache uwanja huru ili wote watafute soko kutokana na ubora wao. Hakuna haja ya kuhujumiana.

Pole kijana, hasara ya Taifa.
 
Msimu-under rate sugu,kipindi kile sugu hakushindwa ruge ndo alishindwa kwa kumfuata waziri wa habari kipindi kile na spika wa bunge mama makinda ili awasiluishe yaishe baada ya sugu kuibua kashfaa nyingi za ruge bungeni ikiwemo kuleta wasanii wakubwa wa nje ambao wao wanawafundisha jinsi ya kukwepa kodi ili wawapate kwa urahisi

Mwenye hoja na hili aje
 
Kwenye ukurasa wake wa instagram amesema wcb__wamekataa__kuwakaa

Je ana maana gani?

8fc1b17da3710eb98972326791a43c76.jpg


UPDATES

e16e947b4fb2dcd22154eee52c364fe6.jpg

84bcc6e8a59415b345dc67ca11b3310d.jpg


Kwamba hawataki kuwa wanamuziki ila wataendelea tu kuwa wasanii na kukpo na kupaste.
 
Ni vile tu kuwa tunasahau mapema sana.. kwani si juzi kati tu hapa tumesikia kuwa WCB wapo mbioni kuanzisha wasafiTV na wasafiFM... Sasa wale wajuvi na wabobezi wa mambo ya biashara nadhani mnaelewa ushindani wa kimasoko... Ili kuuza bizaa yako vizuri na kwa faida kubwa lazima ujiangalie ww mwenyewe ni nini waweza fanya, kisha uangalie hali ya soko, then urudi uone kama bidhaa yako inafaa kuingia sokoni... Kwa vyovyote vile inafaa kabisa kuingia sokoni, suala lipo kwa washindani wako (wale wenye bidhaa kama yako) hapo sokoni,
Unafanya nini kuhakikisha unaizidi ile bidhaa uliyoikuta sokoni na imeshakomaa... Lazima uangalie nguvu pamoja na udhaifu wa mshindani wako.. ili ujue wapi pa kuweka sawa...
SASA KABLA HUJAMALIZA HILO MWENYEJI AMEKUWAHI ANAPAMBANA NAWE
 
Mwisho wa ubaya aibu...! haiwezekani kila siku watu wana lalamika juu yako... mbona hawa lalamikii wengine...? wewe nani? maisha hayapo hivyo....

ukiona kusaga ana husishwa na vitu vizuri vyote vilivyo nyuma ya kusaga na sio ruge lazima ujiulize kuna nini?
Vinega AntVirus walisema haya wakapuuzwa!!
 
Sio rahisi wasafi tv kufanikiwa kwa haraka pamoja na kwamba diamond anajina kubwa hauwezi ukaanza biashara na kuanza kushindana na watu waliopo zaidi ya miaka 10 kwenye soko hili swala linahitaji umakini mkubwa vinginevyo mtu unapata hasara
 
Soon clouds media inapotea..
Itaanza kupigwa figisu kuanzia serikalini hadi mtaani
 
Sio rahisi wasafi tv kufanikiwa kwa haraka pamoja na kwamba diamond anajina kubwa hauwezi ukaanza biashara na kuanza kushindana na watu waliopo zaidi ya miaka 10 kwenye soko hili swala linahitaji umakini mkubwa vinginevyo mtu unapata hasara
Acha inferiority complex, E FM kabla haina mwaka alishamkimbiza huyo mawingu mpaka akawa anaiba watangazaji pamoja na theme za vipindi. Kila kitu kinawezekana acha uoga, muhimu ni unaingia na strategy gani???
 
HAHAHAAA MNAOMBEAGAAAAAAAA AANGUKE NI BASI TU MNASHINDWA,KWAN NI MARA YA KWANZA HAYA MAMBO KUTOKEA

MNA HOOOOFU WAKATI WENYEWE HAWANA HOFU,JUZI TU MWEMBE YANGA WAMEWAITA WATU HAKUNA ALIYEWASAIDIA,ACHENI UNYONYAJI NA HAO MEDIA BWANYENYE ZAKO

UNAPEEENDA KUONA WATU WAKIOMBA MSAMAHA KAMA KINA RUBY NA VINGINE VITOTO VITOTO

YANI WATU WAPAMBANE KUJIKUZA BASI NYI NDO MJIKUTE MKIJIONA MMEMKUZA MTU
BROTHER HII NI NGUVU YA UMMA WANAENDA KUKUTANA NAYO HAO CLOUDS, HAWATOAMINI


WANAONA KAMA WATAIBIWA WATANGAZAJI NDO MANA WAMELETA HII TIFU.
kunywa belaire nakuja kulipa.....
 
wcb kwani hao clouds mbona wanamuandalia vipindi? mf leo tena....ya chibu halaf kama ni nyimbo mbona wcb hazipigwi kivile....labda chibu angekua anawaheshimu kama angekua fiesta....bad luck kwa clouds chibu anakula hela za voda....so mm binafsi naona clouds haijamzidi diamond na crew yake labda wakina ruby ndo waililie clouds ....
 
Back
Top Bottom