chibalangunamchezo
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,542
- 2,645
Safi sana mkuu, waafrika hatupo nyuma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa Rastafari.He was a real Hero of Africa..
Ila inatokana pia na misingi iliyoachwa na vizazi vilivyopita, kutokana na Historia yao pia toka vizazi na vizazi.
Alikua Rastafarian?
pamoja sana mkuu ubarikiwe sanaAhsante mkuu kwa kunisahihisha hapo ni 1844 sio 1884 ngoja niedit
alikufa December 12, 1913, Addis Ababa, EthiopiaAlifia wapi na kwa tatzo gani?
On 27 October 1909, Menelik II suffered a massive stroke and his "mind and spirit died". After that, Menelik was no longer able to reign, and the office was taken over by Empress Taytu.Alifia wapi na kwa tatzo gani?
uko sawa mkuu ila ilianzia kwenye maghetto ya jamaicaKama ilikuwepo basi kwa jina jingine ila unaposema RAS TAFARI ni jina la kuzaliwa la Mtawala Haille Selassie ni sawa na CCM na TANU kwamba huenda kulikuwa na imani ya kama hyo lakini haikuitwa Ras Tafari sababu Ras Tafari imeanza kuitwa hilo jina miaka ya 1940 baada ya Haille Selassie kupambana na waitalia chini ya Benito Mussolini kwenye vita kuu ya pili ya dunia
Ngoja nimuite nyabhingi atupe nondo zaidi
Hapana mke wa kwanza alimpata akiwa mtawala wa shewa ila kuna vurumai ilitokea akawekwa kizuizini so alipotoroka akajikuta anakimbia hilo eneo akamuacha mkewe kabla hajazaa nayeAsante Sana,, alioa ndoa tatu lakini hakupata watoto akapata nje ya ndoa ina maana toka enzi hizo usaliti ulikuwepo
Nyabhingi order nimeisoma mahala ila Mkuu siku ukiweza tupandishie nyuzi kuhusu hii Rastafarian movement tokea mizizi yake hadi misingi yao itakuwa ni kwa faida ya wanaJF wote walio curious kuhusu watu hawa.uko sawa mkuu ila ilianzia kwenye maghetto ya jamaica
kwenye miaka ya 30'snchi ya ahadi ni Ethiopia(au popote ilimradi iwe ndani ya Afrika)
madhehebu yapo takribani manne na mojawapo ni hiyo ID yangu
hii inahitaji thread kamili in its own right
...ukipata muda tuwekee hiyo thread yake mkuu,..usiache kunitag pleaseuko sawa mkuu ila ilianzia kwenye maghetto ya jamaica
kwenye miaka ya 30'snchi ya ahadi ni Ethiopia(au popote ilimradi iwe ndani ya Afrika)
madhehebu yapo takribani manne na mojawapo ni hiyo ID yangu
hii inahitaji thread kamili in its own right
Asante kwa maelezo matamu.Hapana mke wa kwanza alimpata akiwa mtawala wa shewa ila kuna vurumai ilitokea akawekwa kizuizini so alipotoroka akajikuta anakimbia hilo eneo akamuacha mkewe kabla hajazaa naye
Ndoa ya pili alimpenda sana mwanamke mmoja ila huyo mwanamke hakuwa anamtaka menelik II so mwisho wa siku alimbania unyumba na mwishowe akamkimbia
Ndoa ya tatu alioa Mwanamama wa shoka taytu bital ambaye naye aliishi naye kwa amani lakini Menelik II bado moyo wake ulikuwa kwa mke wake wa pili.... Ingawa walidumu lakini hawakufanikiwa kupata watoto
Tatizo naloliona sio kwamba Menelik II alikuwa msaliti bali ndoa za wafalme walikuwa wanapewa wanaozeshwa mabinti za watawala wengine yaani ndoa za kulazimishwa sasa unakuta mwisho wa siku binti au mwanaume hajaridhia inapelekea migogoro kama hii
Fundisho hapa ni kwamba ni vzuri tuheshimu matakwa ya watu inapokuja suala la ndoa ila kuanza kuwapangia binti wa kuoa ndio inapelekea majanga kama haya ya Menelik II mwisho wa siku inabidi atafute mchepuko wa kumpa furaha
Ni hayo tu
notedNyabhingi order nimeisoma mahala ila Mkuu siku ukiweza tupandishie nyuzi kuhusu hii Rastafarian movement tokea mizizi yake hadi misingi yao itakuwa ni kwa faida ya wanaJF wote walio curious kuhusu watu hawa.
noted...ukipata muda tuwekee hiyo thread yake mkuu,..usiache kunitag please
...humblednoted
Huku kwetu unachofanya ni Ku beep tu ikijipokea poa mwendo wa kukurupuka tuNi kweli vizazi vilichangia maana unarithishwa maarifa ya utawala kutokea enzi za makeda na suleiman ni lazima tu alikuwa amepikwa vya kutosha kutawala ufalme mkubwa kama ule sio sisi huku hatuaandai viongozi mtu anakurupuka tu huko aliko anataka ubunge na Urais.
Naam mkuu nimeon alipelekwa kanisani japo alizikwa bila kutangazwa kifo chake.
Mkuu mbona imani ya Rastafarian inasemekana imeanza kitambo kabla ya H.Selasi
Kweli kabisa alikua mu-Orthodox, labda walilinganisha mchango wake kwenye taifa lake na jinsi Yesu alivyojitoa kwa watu wakeHaile Selaise mwenyewe hakuwa wa iman ya Rastafarian. Alikuwa ni mkristo. Na alikuwa akisisitiza kuwa yeye ni binadamu wa kawaida kabisa wakati Rastafarians wakiamini ni ujio wa pili wa Messiah
Early writtings zinasema imeanza pale Babeli kwa mfalme Nimrod.Ambopo pia ndiko ulikoanzia utatu wa Horus,Isis na Osrus/Osris. Au mm ndio niko Wrong?Dini hii ilianza miaka ya 1930s. Haikuewepo before. Nayo ndani yake ina madhehebu kadhaa...