Menelik II: Mtawala wa kiafrika aliyekomesha ukoloni wa wazungu

uko sawa mkuu ila ilianzia kwenye maghetto ya jamaica
kwenye miaka ya 30'snchi ya ahadi ni Ethiopia(au popote ilimradi iwe ndani ya Afrika)
madhehebu yapo takribani manne na mojawapo ni hiyo ID yangu
hii inahitaji thread kamili in its own right
 
Menelik II (17 Agosti 184412 Desemba 1913) alikuwa mfalme mkuu wa Uhabeshi kutoka 1889 hadi 1913. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Sahle Miriam.

Alikuwa mtemi (Ras) wa jimbo la Shoa kati ya 1865-1889. Akashinda katika mvurugo baada ya kifo cha Yohane IV kwa msaada wa Italia akakubaliwa mfalme mkuu wa Ethiopia mwaka 1889.

Alikataa madai ya Italia kutokana na mkataba wa Wuchale. Mwaka 1896 alishinda jeshi la Italia katika mapigano ya Adowa. Ushindi huu ulihakikisha uhuru wa Ethiopia kama nchi ya pekee katika Afrika nje ya Liberia.

Menelik aliweka misingi ya maendeleo ya Ethiopia kuwa nchi ya kisasa lakini hakubadilisha muundo wa utawala wa kimakabaila
 
Asante Sana,, alioa ndoa tatu lakini hakupata watoto akapata nje ya ndoa ina maana toka enzi hizo usaliti ulikuwepo
Hapana mke wa kwanza alimpata akiwa mtawala wa shewa ila kuna vurumai ilitokea akawekwa kizuizini so alipotoroka akajikuta anakimbia hilo eneo akamuacha mkewe kabla hajazaa naye

Ndoa ya pili alimpenda sana mwanamke mmoja ila huyo mwanamke hakuwa anamtaka menelik II so mwisho wa siku alimbania unyumba na mwishowe akamkimbia

Ndoa ya tatu alioa Mwanamama wa shoka taytu bital ambaye naye aliishi naye kwa amani lakini Menelik II bado moyo wake ulikuwa kwa mke wake wa pili.... Ingawa walidumu lakini hawakufanikiwa kupata watoto

Tatizo naloliona sio kwamba Menelik II alikuwa msaliti bali ndoa za wafalme walikuwa wanapewa wanaozeshwa mabinti za watawala wengine yaani ndoa za kulazimishwa sasa unakuta mwisho wa siku binti au mwanaume hajaridhia inapelekea migogoro kama hii

Fundisho hapa ni kwamba ni vzuri tuheshimu matakwa ya watu inapokuja suala la ndoa ila kuanza kuwapangia binti wa kuoa ndio inapelekea majanga kama haya ya Menelik II mwisho wa siku inabidi atafute mchepuko wa kumpa furaha

Ni hayo tu
 
uko sawa mkuu ila ilianzia kwenye maghetto ya jamaica
kwenye miaka ya 30'snchi ya ahadi ni Ethiopia(au popote ilimradi iwe ndani ya Afrika)
madhehebu yapo takribani manne na mojawapo ni hiyo ID yangu
hii inahitaji thread kamili in its own right
Nyabhingi order nimeisoma mahala ila Mkuu siku ukiweza tupandishie nyuzi kuhusu hii Rastafarian movement tokea mizizi yake hadi misingi yao itakuwa ni kwa faida ya wanaJF wote walio curious kuhusu watu hawa.
 
uko sawa mkuu ila ilianzia kwenye maghetto ya jamaica
kwenye miaka ya 30'snchi ya ahadi ni Ethiopia(au popote ilimradi iwe ndani ya Afrika)
madhehebu yapo takribani manne na mojawapo ni hiyo ID yangu
hii inahitaji thread kamili in its own right
...ukipata muda tuwekee hiyo thread yake mkuu,..usiache kunitag please
 
Asante kwa maelezo matamu.
 
Huku kwetu unachofanya ni Ku beep tu ikijipokea poa mwendo wa kukurupuka tu
 
Haile Selaise mwenyewe hakuwa wa iman ya Rastafarian. Alikuwa ni mkristo. Na alikuwa akisisitiza kuwa yeye ni binadamu wa kawaida kabisa wakati Rastafarians wakiamini ni ujio wa pili wa Messiah. Dini hii ilianza miaka ya 1930s. Haikuewepo before. Nayo ndani yake ina madhehebu kadhaa...

Naam mkuu nimeon alipelekwa kanisani japo alizikwa bila kutangazwa kifo chake.
Mkuu mbona imani ya Rastafarian inasemekana imeanza kitambo kabla ya H.Selasi
 
Haile Selaise mwenyewe hakuwa wa iman ya Rastafarian. Alikuwa ni mkristo. Na alikuwa akisisitiza kuwa yeye ni binadamu wa kawaida kabisa wakati Rastafarians wakiamini ni ujio wa pili wa Messiah
Kweli kabisa alikua mu-Orthodox, labda walilinganisha mchango wake kwenye taifa lake na jinsi Yesu alivyojitoa kwa watu wake
Dini hii ilianza miaka ya 1930s. Haikuewepo before. Nayo ndani yake ina madhehebu kadhaa...
Early writtings zinasema imeanza pale Babeli kwa mfalme Nimrod.Ambopo pia ndiko ulikoanzia utatu wa Horus,Isis na Osrus/Osris. Au mm ndio niko Wrong?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…