Mengi: Kwanini nimemuoa K-lynn

Dr Mengi, you don't have to explain to anybody why you married that woman. I believe you did that based on the same reasons as everybody else, so why do you have to explain? If they don't like it they can just eat a **!

Haya ndio mawazo ya grt thinker
 
Ha ha ha! Nicheke mie baada ya zile threads kufutwa naona watuhumiwa wameanza kurudi.
😀😀😀😀

Yaani wameniudhi basi tu, hata hakunogi tena humu, cjui nihamie wapi
 
Kwahiyo furaha yake ni kuona klyn anafua minguo kwa mikono wakati mashine zipo? Anyway, mambo mengine tuwaachie baba na mama
 
Ningekuwa mimi ni Mengi nisingekubali kujibu hilo swali, ingekuwa la maana zaidi
 
K lyn love money
Money love Mengi
kwa mahesabu na mlinganyo sahihi lazima K lyn atampenda mengi tu

Kama sio mwanahisabati huwezi kulijua hili

Tusaidie ww mwana hisabati sasa
 
MO11

Pole kukuomba ufanya ulichosema kuwa unakijua inatakiwa kufuatilia uzi kweli wengine wanajitegeshea dah???????
 
Last edited by a moderator:
Yaani wameniudhi basi tu, hata hakunogi tena humu, cjui nihamie wapi

Detective mwenzangu kaniaibisha sana.Natamani hata ni sign of basi tu nashindwa.
Saa hizi episode 2 zingekua zimeshaisha...daaah!
 
Binafsi simshangai klyn coz anajua nini anachofanya hapo ni anakula na kipofu bana!!kula maisha mwanawane klyn!!!
 
Detective mwenzangu kaniaibisha sana.Natamani hata ni sign of basi tu nashindwa.
Saa hizi episode 2 zingekua zimeshaisha...daaah!

Chezea kugusia maslahi yake binafsi!!! Alishikwa penyewe akaona isiwe taabu, bora niende sports japo hata sielewi hizo sports zenyewe
 
Pole kukuomba ufanya ulichosema kuwa unakijua inatakiwa kufuatilia uzi kweli wengine wanajitegeshea dah???????

mbona una wasiwasi wewe hebu andika ueleweke
 
Mzeee mzeeeeeeeeeeeeeee hayaaaaaa buaanaaaaz nani anapenda kulala na babu hapo ni pesaa tu
 
Wewe inaonekana ni mke mwema. Na kama unampenda Mungu basi nitapenda miaka kadhaa ijayo mke wangu awe na tabia kama zako.
Big up
 
Last edited by a moderator:
K lyn love money
Money love Mengi
kwa mahesabu na mlinganyo sahihi lazima K lyn atampenda mengi tu

Kama sio mwanahisabati huwezi kulijua hili

Mkuu hesabu cha mtoto. Wachumi tuna kitu kinaiitwa "demand and supply forces" tafuteni helaa
 
Kila mwanaume anatamani kuwa na K lyn hata me namkubali sana...Hongera mzee Mengi
 
Kwa kuwa hatakaa afilisike maishani hawezi jua for sure kipi alichompendea...
Ingekuwa wenzangu na mie ningesema asubiri achache ndio atajua kama alipenda machache au mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…