shaurimbaya
JF-Expert Member
- Oct 3, 2013
- 1,915
- 2,329
Pesa sabuni ya roho, ivo ikiwepo mapenzi yanakuwa matamuuuuuuuuuu.
Njaa hzi mbaya sanaaa hahaha.....dem katumia fursa ipasavyo, ka upgrade her net worth overnight dadek, maisha mafupi haya. Ndio maana unaambiwa usishindane na mwanamke.....hata vitabu vya dini vimeeleza mengi on these beings.
Wacha nirudi mzigoni....Lol
Sijaelewa bado... Ni Mengi yule mzee wa IPP au mwingine?
hivi vizee vya namna hii vinapatikana wapi...nijisevie hata mmoja
Hhhaaaaaaaaaaaaa
huko uskumani havipatikani shoga
hivi vizee vya namna hii vinapatikana wapi...nijisevie hata mmoja
Shoga huku usukumani utachungishwa ng'ombe na kulima tu bora huko kwenu mjinii
Huyo huyo orijino
Shoga huku usukumani utachungishwa ng'ombe na kulima tu bora huko kwenu mjinii