Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Uliza hivi ana Dola????? Ela ya mboga bana msemo wa Tibaijuka
mambo ya madolareeeeeeeee...... hahaaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uliza hivi ana Dola????? Ela ya mboga bana msemo wa Tibaijuka
mambo ya madolareeeeeeeee...... hahaaaaaa
Ukimpata huyo bana na sie tunafaidi kama kina Nancy etii
Njaa hzi mbaya sanaaa hahaha.....dem katumia fursa ipasavyo, ka upgrade her net worth overnight dadek, maisha mafupi haya. Ndio maana unaambiwa usishindane na mwanamke.....hata vitabu vya dini vimeeleza mengi on these beings.
ACHA NIRUDI MZIGONI ....Lol
kwa sababu we mzee basi unadhani humu wote wazee
hebu kajambe mbele
ma shosti tena...... jiandae kumuaga msukuma tu safari za Dubai
Pesa sabuni ya roho, ivo ikiwepo mapenzi yanakuwa matamuuuuuuuuuu.
Aiseeee.....New wine in the old bottle .....Ngoja na Mimi nizitafte....
Bora alivyohalalisha.
Maana kuna kipindi mzee Mzima alifuatwa na Mama Abraham hapo kwenye luxury apartments next to Silver Oak, mama ana mguu wa kuku getini, walinzi wanataka kumzuia, huku ndani Mnyarwanda anamhimiza Mengi aruke ukuta.
Mengi alivyo stelingi wa kichaga akaruka ukuta na kukimbia mpaka Muhimbili kupanda taxi, huju amevaa kikofia kuficha sura.
Watoto wa mtaani wakapata tambala.
Hapana hiyo ni Old Wine in a New Bottle

Mengi alivyo stelingi wa kichaga akaruka ukuta na kukimbia mpaka Muhimbili kupanda taxi, huku amevaa kikofia kuficha sura.

Yaani huyu mzee ananifanya nizidi kupambana na kujaza pesa zangu, coz watoto wazur Kama hawa ukiwwa na chapaa hawatemii ndoanoo, na maisha yanakua matamu Sana, haalafu unabebesha fasta fasta ili awe busy kidogo nakuleaa na huku anakuhudumiaa ipasavyoo jamanii pesaa weweee 
I think marriage is not a good idea when you have much money, hawachelewagi kuulizia paso kwa paso bila huruma. Uwaone hivyo hivyo wananukia fragrance, wakikuchenjia hao wanakuwa kama mashetani. Wajameni tuwe makini sana.
Kwahio unatuambia tuendeleee kuzini tuu nasio kuoa tena? Ila pia wakati mwingine nikua makini na machaguo utakayo yafanya ila kwakwelii watoto wazur mi nawao ni damu damu
Yaani huyu mzee ananifanya nizidi kupambana na kujaza pesa zangu, coz watoto wazur Kama hawa ukiwwa na chapaa hawatemii ndoanoo, na maisha yanakua matamu Sana, haalafu unabebesha fasta fasta ili awe busy kidogo nakuleaa na huku anakuhudumiaa ipasavyoo jamanii pesaa weweee 🙌🙌🙌🙌🙌🎼🎶🎼🎶🎶🎶🎼🎶🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤