Mengi na K-lyin got married in Mauritius

Mengi na K-lyin got married in Mauritius

Status
Not open for further replies.
True story, vijana wa mjini wote waliokuwa mitaa hiyo ya Upanga late nineties wanaijua.

Halafu unaangalia habari unaona kwenye ITV "Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Reginald Mengi ametangaza mikakati ya kudhibiti UKIMWI..."

Ha ha ha ha ha ha very funny aiseee.
 
Njaa hzi mbaya sanaaa hahaha.....dem katumia fursa ipasavyo, ka upgrade her net worth overnight dadek, maisha mafupi haya. Ndio maana unaambiwa usishindane na mwanamke.....hata vitabu vya dini vimeeleza mengi on these beings.
Wacha nirudi mzigoni....Lol

It's a win win situation for both of them. Hata Mengi karejesha ujana wake.
 
True story, vijana wa mjini wote waliokuwa mitaa hiyo ya Upanga late nineties wanaijua.

Halafu unaangalia habari unaona kwenye ITV "Mwenyekiti Mtendaji wa IPP Reginald Mengi ametangaza mikakati ya kudhibiti UKIMWI..."

Unataka kuniambia klyn na Mengi walianza kudate 90's
 
Njaa hzi mbaya sanaaa hahaha.....dem katumia fursa ipasavyo, ka upgrade her net worth overnight dadek, maisha mafupi haya. Ndio maana unaambiwa usishindane na mwanamke.....hata vitabu vya dini vimeeleza mengi on these beings.
Wacha nirudi mzigoni....Lol

Senior Boss kwa nini unafikiri kilichom motivate K-Lyn ni njaa?
 
acha mrembo atumie pesa za kazi nzito ya kumteka mzee nyingi
 
Hapo ana uhakika, hata wakiachana nusu ya mali wanagawana ambayo si chini ya Bilioni 200. K~Lyne Bilionea now
 
She z an opportunist nd very ambitious. All she wanted was to hit tha jackpot when she is still young.
Live large akiwa bado mbichi bila ya jasho lolote. Wanawake wengi sanaa wanaojiona wazuri hupenda hii formular....na wengi huishia pabaya. Utakuta most wanajifanya wana attend sana nyumba za ibada kwa mavazi ya kupendeza....fact wako mawindoni.

Sasa kumbe ni kitu cha kawaida na hajafanya jipya, ila amepata jackpot tu?
 
Unataka kuniambia klyn na Mengi walianza kudate 90's

Sio Klyn, kuna mama mmoja Mnyarwanda alikuwa anakaa Upanga kwenye zile expensive apartments next to Silver Oak zilivyojengwa tu, na kazi alipewa ITV if memory serves. I can't remember with certainty her name, I think it was Madam Rita Paulsen.

Enzi hizo Mengi yuko na mkewe mama Abraham.
 
Ndio maana nikasema hapo awali, hamna true love in that affair impendendwa hela. All in all its their life.

Mambo ya mapenzi kijifanya unajua yaliyo moyoni mwa mtu ni nm kazi sana.

Na true love iko kihekaya zaidi.

Hata wanyama mwitu huangalia nani anaweza kuitetea familia vizuri zaidi na kuipa mahitaji.

Italuwa K-Lyn na dada zetu wajasiriamali wa mapenzi wanaotoa huduma adimu?
 
Sio Klyn, kuna mama mmoja Mnyarwanda alikuwa anakaa Upanga kwenye zile expensive apartments next to Silver Oak zilivyojengwa tu, na kazi alipewa ITV if memory serves. I can't remember with certainty her name, I think it was Madam Rita Paulsen.

Enzi hizo Mengi yuko na mkewe mama Abraham.

Maybe Madam Rita.. maana nae si alishatokaga na Mengi enzi hizo...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom