Mengi na K-lyin got married in Mauritius

Mengi na K-lyin got married in Mauritius

Status
Not open for further replies.

shaurimbaya

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2013
Posts
1,915
Reaction score
2,329

Bridal shower ilifanyika wiki iliyipita nyumbani kwa Klyn na Mengi…
Mambo ya high tea….
Mambo ya kwa queen hayooo


Mashosti ndo kama hivyo walinogesha shughuli haswaaa….
Kina Nancy, Faraja Kotta, Nasreen na wengineo..
Alafu wachacheeeee, hata 10 hawakufika,,,,KLYN naona kaamua hataki vigurupu vya mujini…..

================

Update: PICHA ZA SHEREHE YA HARUSI YA DK. REGINALD MENGI NA JACQUELINE NTUYABALIWE VISIWANI MAURITIUS..

mengi-9.jpgmengi-3.jpg
Mengi-1.jpgmengi-8.jpgmengi-7.jpgmengi-2.jpgmengi-5.jpgmengi-4.jpg
 
NasDaz njoo uone huku, na mimi nataka tukafungie ndoa angani tuazime airforce one ya Obama, wana jf wotee tutawagharamia kila kitu hadi mavazi, kisha tutawapa offer ya kula bure kwenye 5star hotel yoyote mwaka mzima kama asante kwakuhudhuria, upo tayari?????? kama haupo tayari sema mi niende kwa Rugemalila.
 
Njaa hzi mbaya sanaaa hahaha.....dem katumia fursa ipasavyo, ka upgrade her net worth overnight dadek, maisha mafupi haya. Ndio maana unaambiwa usishindane na mwanamke.....hata vitabu vya dini vimeeleza mengi on these beings.
Wacha nirudi mzigoni....Lol

Kwa hiyo mtu akiolewa na masikini ndio kiashirizi cha kutokuwa na njaa?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom