Mengi na K-lyin got married in Mauritius

Status
Not open for further replies.
Hayo mengine tupa kuleee.....la muhimu wanafikia malengo yao.
 
Mkuuu tafuta pesaa...hata ukioa wanawake buku kama king Suleiman huulizwiii...???
 
Dinazarde tena kipindi hicho ilikuwa enzi za fisadi papa na nyangumi,hadi Rostam akampaka mbovu Mengi akimwambia kuwa anaoa na kutembea na wanawake wenye umri sawa na binti yake,ila mwe hivi ile sheria imepita ama?maana tusijefungwa bure
 
Last edited by a moderator:
Ndoa ilifungwa na picha ziliwekwa hapa.sema hakuvaa white gown ,hiyo thread ilijadiliwa sana ila itakuwa ilinyofolewa kabisa.

Tuthibitishie kwa kutuwekeaa picture, angalau tumjue huyu mwanamamaa
 
Dinazarde tena kipindi hicho ilikuwa enzi za fisadi papa na nyangumi,hadi Rostam akampaka mbovu Mengi akimwambia kuwa anaoa na kutembea na wanawake wenye umri sawa na binti yake,ila mwe hivi ile sheria imepita ama?maana tusijefungwa bure

Hata kwenye the guardian walitoa picha wakiwa honeymoon chumbani tena walifunga Bomani
 
Last edited by a moderator:
Tuthibitishie kwa kutuwekeaa picture, angalau tumjue huyu mwanamamaa

hii ni mojawapo ila naona zile picha zilizokuwazinawaonyesha wanafunga ndoa kabisa zilishafutiliwa mbali,hizi iisue ilijadiliwa hapa,thread ikaondolewa kabisa,picha ziliwekwa pia kwenye blog moja iliitwa THE UTAMU watu walitiririka acha kabisa,enzi ya vita ya Rostam na Mengi
 
Halafu mwisho wa siku Mengi akaitisha mkutano na wanahabari kukanusha...

Madai yake yalikuwa ni kuwa kazushiwa na mafisadi ili kumuharibia jina...

Reginald anapenda sana totoz huyu mdingi...ila ndio maisha yake

Doooh!!! Ahsantee sna kwa pictures ila jamaaa anaonekanaa anapendaa totoz
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…