alma gemela
JF-Expert Member
- Feb 22, 2013
- 842
- 280
MZEE mengi yupo separated na mkewe Mercy hawaja divorce , pili Mauritius wanakubali kuwaozesha watu NDOA ( watu wawili angalau mmoja awe single ).Mengi ni mkristo na sidhani Tanzania kuna NDOA mbili za kikristo.Congratulations kwa wanandoa ila klyn awe macho.Mengi may be the smart one here
View attachment 239751
hii ni mojawapo ila naona zile picha zilizokuwazinawaonyesha wanafunga ndoa kabisa zilishafutiliwa mbali,hizi iisue ilijadiliwa hapa,thread ikaondolewa kabisa,picha ziliwekwa pia kwenye blog moja iliitwa THE UTAMU watu walitiririka acha kabisa,enzi ya vita ya Rostam na Mengi
Mbona mengi yupo separated .Aangalie mke wa mengi Mercy mmachame Yule .Partner na mumewe IPP hayaa[/QUOTE
Mengi alishaoaga lilian wa brela taratibu za kanisa hapo tayari hakuna ndoa btn mengi na mercy. Sababu ndoa ishakuwa batili
Nafikiri Mengi na mercy wamekubali Kubaki KIMYA ...TALAKA Yao ingekuwa the most expensive ...na utajiri ungepungua ..mercy mstaarabu ..kwenye hili
Kumbe na wewe ulikuwepo kweli jamaa mwenye suti ya kijivu alitia fora.
MZEE mengi yupo separated na mkewe Mercy hawaja divorce , pili Mauritius wanakubali kuwaozesha watu NDOA ( watu wawili angalau mmoja awe single ).Mengi ni mkristo na sidhani Tanzania kuna NDOA mbili za kikristo.Congratulations kwa wanandoa ila klyn awe macho.Mengi may be the smart one here
Jamani yasn hata hanifungulii nishakaa mlangoni tu lol
Natalia what was your point... kama sijakusoma vileeMbona mengi yupo separated .Aangalie mke wa mengi Mercy mmachame Yule .Partner na mumewe IPP hayaa
Heaven on Earth unataka jamaa aiweke papuchi ya madam hapa jukwaani ndio uamini...
Dinazarde tena kipindi hicho ilikuwa enzi za fisadi papa na nyangumi,hadi Rostam akampaka mbovu Mengi akimwambia kuwa anaoa na kutembea na wanawake wenye umri sawa na binti yake,ila mwe hivi ile sheria imepita ama?maana tusijefungwa bure
Sijui kama anapiga kazi....hela tu!!!"