Mengi na K-lyin got married in Mauritius

Mengi na K-lyin got married in Mauritius

Status
Not open for further replies.
Mmh ngoja namie nimtafute mengi wangu anioe lol!
 
MZEE mengi yupo separated na mkewe Mercy hawaja divorce , pili Mauritius wanakubali kuwaozesha watu NDOA ( watu wawili angalau mmoja awe single ).Mengi ni mkristo na sidhani Tanzania kuna NDOA mbili za kikristo.Congratulations kwa wanandoa ila klyn awe macho.Mengi may be the smart one here

Fanyeni mpango mumtenge kanisani ili akate mirija ya Asali maana hata misikitini anakubalika
 
View attachment 239751
hii ni mojawapo ila naona zile picha zilizokuwazinawaonyesha wanafunga ndoa kabisa zilishafutiliwa mbali,hizi iisue ilijadiliwa hapa,thread ikaondolewa kabisa,picha ziliwekwa pia kwenye blog moja iliitwa THE UTAMU watu walitiririka acha kabisa,enzi ya vita ya Rostam na Mengi

Dah!! Huyu Mzee kumbe ni muhuni hivi!!!!? Ujanani alikuwa busy sana kutafuta pesa au?
 
Mbona mengi yupo separated .Aangalie mke wa mengi Mercy mmachame Yule .Partner na mumewe IPP hayaa[/QUOTE

Mengi alishaoaga lilian wa brela taratibu za kanisa hapo tayari hakuna ndoa btn mengi na mercy. Sababu ndoa ishakuwa batili

Nafikiri Mengi na mercy wamekubali Kubaki KIMYA ...TALAKA Yao ingekuwa the most expensive ...na utajiri ungepungua ..mercy mstaarabu ..kwenye hili
 
MZEE mengi yupo separated na mkewe Mercy hawaja divorce , pili Mauritius wanakubali kuwaozesha watu NDOA ( watu wawili angalau mmoja awe single ).Mengi ni mkristo na sidhani Tanzania kuna NDOA mbili za kikristo.Congratulations kwa wanandoa ila klyn awe macho.Mengi may be the smart one here

iwe inakubalika au haikubaliki lakini si unajua mapenzi ni ya wawili? hata kama ulimwengu mzima ukipinga kama wao wawili wameridhia baaas hakuna anaeweza kubadilisha
 
Dinazarde tena kipindi hicho ilikuwa enzi za fisadi papa na nyangumi,hadi Rostam akampaka mbovu Mengi akimwambia kuwa anaoa na kutembea na wanawake wenye umri sawa na binti yake,ila mwe hivi ile sheria imepita ama?maana tusijefungwa bure

Hahahaaaa twafaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom