Shoga huku usukumani utachungishwa ng'ombe na kulima tu bora huko kwenu mjinii
Shoga huku usukumani utachungishwa ng'ombe na kulima tu bora huko kwenu mjinii
Umemuona zari alivyokuwa akijificha kwenye msiba? Nae anajikuta beyonce nfyuu, nasikia watu walikuwa wanamchunguza vidole mpaka juu, yani wabongo wambea, apo walikuwa wanatafuta umbea
Kuropoka ropoka, si unajua tena umbea ukikolea unajisahau... shoga ako shamim nae kafanya soo gani tena??
Kuropoka ropoka, si unajua tena umbea ukikolea unajisahau... shoga ako shamim nae kafanya soo gani tena??
WEma anakuja kivingine mwaka huu, haters mtakunya kunde mwaka huu
Anakujaje kivingine binamu? Maana mwenzie lulu mjamzito
Mmh huyo lulu hana mimba wala nini
Mmh huyo lulu hana mimba wala nini
WEma anakuja kivingine mwaka huu, haters mtakunya kunde mwaka huu
Ahahahahaha pesa imemfanya k lyn aolewe na mzee😕
Picha hyo
mmmhhhhhh
Picha hyo
Kwa shida na raha