Mengi na K-lyin got married in Mauritius

Mengi na K-lyin got married in Mauritius

Status
Not open for further replies.
Umemuona zari alivyokuwa akijificha kwenye msiba? Nae anajikuta beyonce nfyuu, nasikia watu walikuwa wanamchunguza vidole mpaka juu, yani wabongo wambea, apo walikuwa wanatafuta umbea

Wabongo naooo! Kwa kushobokea rangi nyeupe, naonq walikua wamepigwa na butwaa kuona mtoto mzuri aloteka vyombo vya habare vyote eastafrica kaibuka moro ni sawa usikie beyonce kaja msibani mbagara kuu.
 
Picha hyo
 

Attachments

  • 1428133598171.jpg
    1428133598171.jpg
    44 KB · Views: 927
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom