Mengi na K-lyin got married in Mauritius

Mengi na K-lyin got married in Mauritius

Status
Not open for further replies.
as you can see,all photos relating to the event,appear to be having a blending mark of a blog called bongo 5.i think it's a blog owner who should be ashamed for publishing them.wanachaofanya member wa JF ni ku-republish tu.

Owner wa bongo5 alikuwepo harusini. I believe kapata ruksa ya kuzi publish
 
Isn't this a private affair? Has Mr. Mengi given permission for people to poke their noses into his private family affairs? What a shame! WM

Mwenye kuweka picha mtandaoni ni huyo mpambe wa bwana harusi hapo kando...

Hebu nenda kambwatukie huko bongo5
 
Hivi bwana mengi alikuwa hana mke kabla ya huyu k lyin?

Mh...huyo mke unayechuma naye juani mpaka mkifika kivulini amejichokeaaa....inabidi tu ufanye substitute...na Mungu si Athumani kwenye benchi kumejaa balaa...unafanya KUpick tu, alimuradi CHUMO linaruhusu.
 
Hebu aliyehudhuria atuambie Baba Mkwe a.k.a Baba wa K lyn alivyopewa kinasa sauti alitumia kauli gani...usikute alisema "wanangu Reginald na Kylin"
 
Baba ubaya juzi kanichambia mtu insta naona uko alipo hana hamu, nyie ndomo ana matusi? SI aje uku tuwe tunachambana live

Ile ya kua watu wangemchamba kuhusu crdb ee au
 
mnamsifia wakati mengi ana mke wake wa ndoa? mi naona huyo jack kachemsha tu.
 
pesa nyoko
 

Attachments

  • 1428173931850.jpg
    1428173931850.jpg
    40.6 KB · Views: 491
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom