Mengi na K-lyin got married in Mauritius

Mengi na K-lyin got married in Mauritius

Status
Not open for further replies.
Ni Kweli Mercy yupo kwenye Body ya Kampuni Za mengi......ila kimila yetu ukivuta mke mdogo Huwa atakiwi kurithi vitu alivyovikuta..basi tu Umaskini lakini toka zamani ..ukioa mke mpya ni Sharti umpe nyumba yake ,shamba lake ...na Mifugo yake apate maziwa...na watoto atakaozaa watarithi vitu Hivyo ....huwezi kuoa mke mdogo umuweke kwenye mgao wa mke mkubwa ..

K lynn kashaula, hao wanaosema hayupo kwenye urithi wivu tu unawasumbua,
 
Hata wasingekua wamefunga ndoa. Maisha ni leo, kesho huijui.
Lakini pia Jacq sio mjinga wa kusema akiachwa leo kafilisika. Lazima baba kawaandalia Twins wake mazingira incase hata akifa leo.

Halafu mdada msambaza taarifa kwenye groups aliemsaliti kakopi hadi namba...

Iyo ilikua ni comment ya mdau kule u turn.wamecopy ila hawaja acknowledge.Jaman klynn sio mjinga.
 
Huyu ndio alikua mzembe... Namuonaona pale Mlimani City kwenye ofisi za kampuni fulani ya simu.
attachment.php

huyo mdada baada ya kupigwa chini na mzee machahe,wakati fulani alikuwa ana date na yule mtz aliyekwapua mkwanja USA.ila tuache utani,mzee mengi kalamba karibia mabinti wote warembo wa jiji hili.vijana wakware wanaishia kula makombo yake.noma sana
 
Bakhresa hana dogo dogo jaman, maana yule nae simsikiagi ye kutwa maandazi, mara chapati, haya mambo ya kupenda kituntuni naona hanag

Hhhaaa ye ni maandazi tu k kamuachia mzee mengi
 
Mchangamsheni bhana, kazubaa mno, khaa

Binamu yule utampatia wapiii katulia na wake ndani eti nasikia bakhresa hana mtoto hata mmoja wale ni watoto ni wa mdogo wake
 
Watoto wazuri na hela ni damu damu pia, ni ukweli usiofichika mamilionea wote kwenye ndoa mwisho wa siku wanaangukia pua.

kwa umri wa jamaa hata akija kumfilisi mbona shega tu...jamaa ana malizia tu uzee tena vizuriii!...halafu kambandika mapacha...mengi katisha sana hapa...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom