The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
It ain't trickin' if you got it and it ain't braggin' if you done it!
would you marry a woman of 36 years when you are in the seventies?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
It ain't trickin' if you got it and it ain't braggin' if you done it!
would you marry a woman of 36 years when you are in the seventies?
Marry? Nah.
Smash? Oh hell yeah!
Isije kuwa ya babu Slaa na Kagenzi "The Body Guard", yetu macho.
Mazee ya kichaga bana, jeuri kweli kweli!Namuona the Old Don Mzee Mrema wa impala....akila raha
Shida ni kubwa! Kanyang'anywa mume! Na uzee huo hana hata wa kumwambia habari gani zaidi ya kuamkiwa shikamoo bibi!
Money is not everything remember!
hapa pana cha kujifunza kiukweli.
1) binti kakosa kijana mwenzie anaye weza kumridhisha ndo mana kajionea bora atoke na mzee manake kiukweli wananguvu ukicompare wa vijana wa kileo
2) binti katafuta eleri kwa lazima manake alijua kutoka na mzee afu pesaless hailipi, na hata ukimkuta kijana rijali mshiko wamaana hana so nikajilie vyangu katika ujana natesa ujana adi uzee
3) mzee alipiga picha nina mali, machame mrithi wa maali ni mtoto wa ndoa wa kiume vinginevyo mtoto wa kiume wa ndugu yaani kaka, sasa mali zangu zote hizi nimpe mtu hapana, ngoja nizae changamoto ikaja Mercy ni mzee nafanyeje manake akibeba mimba atazaa mongolia .............
basi akaamua kudiscuss nae na kutafuta binti mdogo akajua huyu nikimpandikiza hata mapacha ataweza kuzaa bila shida.
4) nataka mtoto wa kiume nifanyeje?? nikapandikize mapacha wa kiume ili nipate mrithi na this tyme sio kwa kubahatisha bali nihakaikishe nakuwa na wa reserve...........
5) pesa ipo kila kitu kinawezekana so leta binti nifurahie maisha
Mbona mengi yupo separated .Aangalie mke wa mengi Mercy mmachame Yule .Partner na mumewe IPP hayaa[/QUOTE
Mengi alishaoaga lilian wa brela taratibu za kanisa hapo tayari hakuna ndoa btn mengi na mercy. Sababu ndoa ishakuwa batili
Heee huyu kaoa Mara ngapi sasa?
View attachment 239751
hii ni mojawapo ila naona zile picha zilizokuwazinawaonyesha wanafunga ndoa kabisa zilishafutiliwa mbali,hizi iisue ilijadiliwa hapa,thread ikaondolewa kabisa,picha ziliwekwa pia kwenye blog moja iliitwa THE UTAMU watu walitiririka acha kabisa,enzi ya vita ya Rostam na Mengi
Aiseee I didn't knew this!!!
Mengi nae sasa khaaaa!!!!3times?
Isije kuwa ya babu Slaa na Kagenzi "The Body Guard", yetu macho.
Heee huyu kaoa Mara ngapi sasa?
mara 3
Anakujaje kivingine binamu? Maana mwenzie lulu mjamzito
Picha zinasema yote!