warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Ni Kweli Mercy yupo kwenye Body ya Kampuni Za mengi......ila kimila yetu ukivuta mke mdogo Huwa atakiwi kurithi vitu alivyovikuta..basi tu Umaskini lakini toka zamani ..ukioa mke mpya ni Sharti umpe nyumba yake ,shamba lake ...na Mifugo yake apate maziwa...na watoto atakaozaa watarithi vitu Hivyo ....huwezi kuoa mke mdogo umuweke kwenye mgao wa mke mkubwa ..
K lynn kashaula, hao wanaosema hayupo kwenye urithi wivu tu unawasumbua,