as you can see,all photos relating to the event,appear to be having a blending mark of a blog called bongo 5.i think it's a blog owner who should be ashamed for publishing them.wanachaofanya member wa JF ni ku-republish tu.
JaQuiline ni mmoja kati ya wadada warembo sana kwa hapa kwetu tz...ni ivo mzee mwenzangu kaniwah ila ningemchukua mimi mrembo huyu
Namuona mtoto Nancy Sumari kwa pembeni.
Isn't this a private affair? Has Mr. Mengi given permission for people to poke their noses into his private family affairs? What a shame! WM
Me nataka wakunizidi kwanzia 10 mpk 20.Jamani mbona nasikia milipuko???au ndo alishababi wameingia
eenh jamani kumbe umeolewa tiari!!?
Hivi bwana mengi alikuwa hana mke kabla ya huyu k lyin?
Mimba ya zari imeanguka
Baba ubaya juzi kanichambia mtu insta naona uko alipo hana hamu, nyie ndomo ana matusi? SI aje uku tuwe tunachambana live
JaQuiline ni mmoja kati ya wadada warembo sana kwa hapa kwetu tz...ni ivo mzee mwenzangu kaniwah ila ningemchukua mimi mrembo huyu
ndio..!!
na nna watoto wawili
Hivi kumbe hakuoa tangu anusuriwe na yule housegirl
^^