Mengi na K-lyin got married in Mauritius

Status
Not open for further replies.
Ndoa ya Jacky ni kama ile ya yule wa Brella, Lillian. Ni magumashi tu na ndo maana wameukimbia mji wanajua wambea watafukunyua records. Huko Mauritius nani atafatilia. Dada alikuwa anahamu ya kuvaa pete ya ndoa. Aivae tu kwa raha zake ila asiseme kaolewa. Mengi is a married man ,my mom is very close na mke wa Mengi juzi nilivyoona picha za huko harusini nikamuuliza kama shoga yake keshapewa talaka official akasema hiyo talaka italetwa na kaburi only, kwanza wameoana kanisani pili Mengi aki divorce inabidi agawanye half of his wealth ampe yule mama atawezea wapi hayo.

K- Lyinn nani???

Inside information:

JAMANIII K-lyinn sio mke halali, unadhani why mengi kasafiri kote huko kuoa?? Mchaga yule sio mjinga hata kidogo!!! K-lynn ataenjoy as long as Mengi is ALIVE, PERIOD!!!!! Ndio maybe hatakuwa na mawazo ya kulipa school fees za watoto but besides that, hakuna ki2!!! Aunty Merci (Mengi wife) ni mtoto wa Chifu enzi hizo na kwao kuna hela chafuuuuu!!!! usisahau kuna REGINA MENGI NA ABDIEL MENGI ambao ndo responsible na mali nyingi za mzee wao. Huyo K-lyinn hapati kitu hapo, chezea Regina wewe!!!!! Vaa tu hiyo pete but kwenye documents hauko labda utaambulia hiyo nyumba ya Kinondoni mnayokaa!! K- Lyinn alidhani ataridhi mali za mzee, kiruuuuuu poleee mamiiiii polee sana!!!! endelea kununua pochi tu na viatu, pole bibie.

Mbona hili liko wazi, katafuteni articles of organizations za kampuni zote za Mengi including hiyo mpya ya Madini muone who are owners? ndo mtajua why Mengi hawezi kumtaliki yule mama. Wala sio sabab ya ndo ya kanisani. Sababu kubwa ni mali. Mafuriko ya mwaka jana yalivyotokea nyumba ya Mzee Mengi anayoishi na klyn na watoto wao ilijaa maji guess who went there na watu wa insurance kufanya estimation ya mali zilizoharibika na maji? Mama MENGI.

Mchana kweupe akaenda pale na watu wa insurance akiweno mzee Mengi pamoja na mtot wa kiume Abdiel. Thats how much power that mama has. Hata nyumba anayoishi Mengi na familia yake mpya ni yake pia. Staki kumalizia story nzima ila kwa kifupi mama Mengi alitembeza kichapo.

La maana KLYN awe ana sali daily Mama Mengi afariki kabla ya Mzee Mengi maana akianza Mzee akamwacha yule mama the next day Klyn is back kitaani with the rest of us hata msibani hatoruhusiwa kukanyaga. Amuulize RITA wa bongo star search vagi la yule mama kwenye misiba. Yule mama ni........
 
El Toro

Mwenzio kachukua chake kwanza hasubiri ulithi yeye katengewa mzigo wake ndio kakubali kaolewa. Wenye wivu kaz mnayo.
 
Last edited by a moderator:
Mwacheni mzee ajilie vyake...
 

Attachments

  • 1428177247526.jpg
    21.5 KB · Views: 803
duh,wabongo povu limewatookab!! nani aliyepata faida ya ubuyu mnaoutangaza,pumbavu nyie wazen mtifikaje pale alipo mengi na c kubwabwaja mitandaoni!
 
El Toro

Hata wasingekua wamefunga ndoa. Maisha ni leo, kesho huijui.
Lakini pia Jacq sio mjinga wa kusema akiachwa leo kafilisika. Lazima baba kawaandalia Twins wake mazingira incase hata akifa leo.

Halafu mdada msambaza taarifa kwenye groups aliemsaliti kakopi hadi namba...
 
Last edited by a moderator:
El Toro

Ni Kweli Mercy yupo kwenye Body ya Kampuni Za mengi......ila kimila yetu ukivuta mke mdogo Huwa atakiwi kurithi vitu alivyovikuta..basi tu Umaskini lakini toka zamani ..ukioa mke mpya ni Sharti umpe nyumba yake ,shamba lake ...na Mifugo yake apate maziwa...na watoto atakaozaa watarithi vitu Hivyo ....huwezi kuoa mke mdogo umuweke kwenye mgao wa mke mkubwa ..
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…