Mengi na K-lyin got married in Mauritius

Status
Not open for further replies.

hapo kwenye herufi kubwa ni uamuzi sahihi kabisa
 
Bora alivyohalalisha.

Maana kuna kipindi mzee Mzima alifuatwa na Mama Abraham hapo kwenye luxury apartments next to Silver Oak, mama ana mguu wa kuku getini, walinzi wanataka kumzuia, huku ndani Mnyarwanda anamhimiza Mengi aruke ukuta.

Mengi alivyo stelingi wa kichaga akaruka ukuta na kukimbia mpaka Muhimbili kupanda taxi, huku amevaa kikofia kuficha sura.

Watoto wa mtaani wakapata tambala.
 
Pesa sabuni ya roho, ivo ikiwepo mapenzi yanakuwa matamuuuuuuuuuu.

Yaani huyu mzee ananifanya nizidi kupambana na kujaza pesa zangu, coz watoto wazur Kama hawa ukiwwa na chapaa hawatemii ndoanoo, na maisha yanakua matamu Sana, haalafu unabebesha fasta fasta ili awe busy kidogo nakuleaa na huku anakuhudumiaa ipasavyoo jamanii pesaa weweee 🙌🙌🙌🙌🙌🎼🎶🎼🎶🎶🎶🎼🎶🎤🎤🎤🎤🎤🎤🎤
 
Hahahahahaha ...... hii stori ilinichekesha sana ........ imagine yule mzee akiruka ukuta ......
 
Te!te! te! Kweli nyuma ya pazia kunamambo.
 
hahahahaha...umenichekesha sana mkuu, hakuna mtu aliempiga picha wakati mzee mzima anaruka ukuta? teh teh
 
Mkuu hii ni true story?Basi kaazi kweli kweli aiseeeeee duh
 
I think marriage is not a good idea when you have much money, hawachelewagi kuulizia paso kwa paso bila huruma. Uwaone hivyo hivyo wananukia fragrance, wakikuchenjia hao wanakuwa kama mashetani. Wajameni tuwe makini sana.
 
Kwahio unatuambia tuendeleee kuzini tuu nasio kuoa tena? Ila pia wakati mwingine nikua makini na machaguo utakayo yafanya ila kwakwelii watoto wazur mi nawao ni damu damu
 
Kwahio unatuambia tuendeleee kuzini tuu nasio kuoa tena? Ila pia wakati mwingine nikua makini na machaguo utakayo yafanya ila kwakwelii watoto wazur mi nawao ni damu damu

Watoto wazuri na hela ni damu damu pia, ni ukweli usiofichika mamilionea wote kwenye ndoa mwisho wa siku wanaangukia pua.
 
Ni wewe tu kazana kuzichanga, pesa ndio silaha, hahahahaha!!!!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…