Mengi with Ntuyabaliwe

Mengi with Ntuyabaliwe

Status
Not open for further replies.

chuchunge

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2007
Posts
218
Reaction score
167
Jana kwenye mazishi ya Mh Sumari nilimshuhudia Mengi Akiwa na Jackline Ntuyabaliwe kama mtu na mkewe.Sielewi huyu mzee anafundisha nini vijana wa taifa hili bila hata aibu,age difference ni mtoto wake wa mwisho.
 
Mwache ajilie vitu laini roho inapenda, sheria ya tz inasema mtoto akitimiza miaka 18 huyo ni mkubwa ruksa kuolewa au kuoa.
 
Hivi wazee hawana haki ya kupenda au kupendwa? Mbona tunalaumu tu pesa pesa!
 
Jana kwenye mazishi ya Mh Sumari nilimshuhudia Mengi Akiwa na Jackline Ntuyabaliwe kama mtu na mkewe.Sielewi huyu mzee anafundisha nini vijana wa taifa hili bila hata aibu,age difference ni mtoto wake wa mwisho.
Akaaa! kwani watoto wenzie hakuwaona huyo Jackline au mengi alimkuta na kinyonyo mdomoni? kama mtoto basi nikwao kwa babake na mamake...
 
Hivi wazee hawana haki ya kupenda au kupendwa? Mbona tunalaumu tu pesa pesa!
Nashanga wanahaki unusu yakupenda tena wazee wana jali kuliko hao vijana hawana lolote choyo tuuu.mwacheni ale raha zake.
 
Ngoja wenye visu vyao wajilie nyama,
Ni haki yao,
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom